Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Hata kura atazipata kwa namna hiyo hiyo ya kushangaza
Hawezi kamwe. Nenda kaulize watia nia walichofanywa na wajumbe.Msitegemee kura za huruma, mtu anaeshindana nae watu wana imani nae kubwa sana kwenye uongozi kuliko yeye.
 
Babangu kawabeba sana Chadema 2015 hadi mmemchosha mapimbi nyie
Bila chadema lowassa angeshazikwa kitamboooo maana walitaka kumuua kwa sumu ...mwambie aishukuru sana chadema Kama ambavyo hata sisi tunavyothamini mchango wake ndani ya chama japo aliondoka nao aliokuja nao
 
Hawezi kamwe. Nenda kaulize watia nia walichofanywa na wajumbe.Msitegemee kura za huruma, mtu anaeshindana nae watu wana imani nae kubwa sana kwenye uongozi kuliko yeye.
Wajumbe gani ???
 
Unaota wewe ..si mlisema lissu hawezi kurudi na chadema ilishakufa ?? Mbona mnajinyea nyea??
Sasa uhai wa Chadema wewe unaupimaje? Kwa hawa watu wanaokuja kumshangaa mtu aliepigwa risasi akapona kwa muujiza wa mungu? Nadhani Wewe huwajui watanzania. Hata wewe ukijenyea hadharani watu watakuja kukushangaa
 
Babangu kawabeba sana Chadema 2015 hadi mmemchosha mapimbi nyie
Huyo baba ako alikua ni mzigo tu kwa CHADEMA. Hakua na sera kabisa, Jitu limezubaa kama mgonjwa wa pepopunda! Kazi aliyoweza ni kusema "Elimu Elimu Elimu" tu basi halafu pumzi inakata.
Afadhali karudi alikotoka maana alikinajisi Chama.
 
Mkuuu wali wa kushiba huonekana hata kwa macho ...lissu ndo rais ajaye 2020 kubali kataa hbr ndo hiyo
 
Huyo baba ako alikua ni mzigo tu kwa CHADEMA. Hakua na sera kabisa, Jitu limezubaa kama mgonjwa wa pepopunda! Kazi aliyoweza ni kusema "Elimu Elimu Elimu" tu basi halafu pumzi inakata.
Afadhali karudi alikotoka maana alikinajisi Chama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Babangu kawabeba sana Chadema 2015 hadi mmemchosha mapimbi nyie
Usipende sana kumtaja Baba yako kwenye mabishano, ukasababisha kutukaniwa mzazi wako.

Utakuwa umemtendea heshima kubwa mzazi wako kwa kutomtengenezea mazingira ya kunenwa isivyostahili.

Itoshe tu kusema, muunganiko wa CHADEMA na Lowasa ulikuwa na faida pande zote mbili - ndivyo kila upande ulivyoona. Je, ilikuwa hivyo au vinginevyo, wao ndio wanajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kahama ata akienda tu amber lulu au amber ruty huwa wanajaa tu usitishike chief kawaida tu.
 
Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara

Hebu kuwa na huruma mkuu au haujui kuwa hiyo sentensi kuna mtu anaumia kichizi. Anatamani hata walipuliwe tu.
 
Hiyo ndio maana ya game changer.
Yeah jamaa anaenda kubadirisha hali ya kisiasa nchini. Ila ni vyema hatukuwasikia kwa muda mrefu wanasiasa wacha tujue mbivu na mbichi ni zipi sio kila siku kusikia ambayo hayatugusi wananchi moja kwa moja.
 
WH sasa mnamuogopa kwa kuvipiga pin vyombo vya habari kitangaza habari zake?
Je, this time mtaacha wizi wa KURA?
Na vipi Kampeni zitakuwa FAIR?
 
Kama wali wa kushiba huonekana kwa macho, Nyomi la Lowassa unaweza kulifananisha na huyu mropokaji. Mbona Lowassa hakua Rais?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Nyomi ya lowassa ni cha mtoto ..ya mwaka huu ni zaidi ..hapo ujue tuna test mitambo tu ..hvyo tulieni tulieni dawa iwaingie vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…