Hawezi kamwe. Nenda kaulize watia nia walichofanywa na wajumbe.Msitegemee kura za huruma, mtu anaeshindana nae watu wana imani nae kubwa sana kwenye uongozi kuliko yeye.Hata kura atazipata kwa namna hiyo hiyo ya kushangaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kamwe. Nenda kaulize watia nia walichofanywa na wajumbe.Msitegemee kura za huruma, mtu anaeshindana nae watu wana imani nae kubwa sana kwenye uongozi kuliko yeye.Hata kura atazipata kwa namna hiyo hiyo ya kushangaza
Bila chadema lowassa angeshazikwa kitamboooo maana walitaka kumuua kwa sumu ...mwambie aishukuru sana chadema Kama ambavyo hata sisi tunavyothamini mchango wake ndani ya chama japo aliondoka nao aliokuja naoBabangu kawabeba sana Chadema 2015 hadi mmemchosha mapimbi nyie
Wajumbe gani ???Hawezi kamwe. Nenda kaulize watia nia walichofanywa na wajumbe.Msitegemee kura za huruma, mtu anaeshindana nae watu wana imani nae kubwa sana kwenye uongozi kuliko yeye.
Sasa uhai wa Chadema wewe unaupimaje? Kwa hawa watu wanaokuja kumshangaa mtu aliepigwa risasi akapona kwa muujiza wa mungu? Nadhani Wewe huwajui watanzania. Hata wewe ukijenyea hadharani watu watakuja kukushangaaUnaota wewe ..si mlisema lissu hawezi kurudi na chadema ilishakufa ?? Mbona mnajinyea nyea??
Nimetoa tu mfano wajumbe walivyokua wanawapa moyo watia nia halafu wakawatosa.Wajumbe gani ???
Huyo baba ako alikua ni mzigo tu kwa CHADEMA. Hakua na sera kabisa, Jitu limezubaa kama mgonjwa wa pepopunda! Kazi aliyoweza ni kusema "Elimu Elimu Elimu" tu basi halafu pumzi inakata.Babangu kawabeba sana Chadema 2015 hadi mmemchosha mapimbi nyie
Mkuuu wali wa kushiba huonekana hata kwa macho ...lissu ndo rais ajaye 2020 kubali kataa hbr ndo hiyoSasa uhai wa Chadema wewe unaupimaje? Kwa hawa watu wanaokuja kumshangaa mtu aliepigwa risasi akapona kwa muujiza wa mungu? Nadhani Wewe huwajui watanzania. Hata wewe ukijenyea hadharani watu watakuja kukushangaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Huyo baba ako alikua ni mzigo tu kwa CHADEMA. Hakua na sera kabisa, Jitu limezubaa kama mgonjwa wa pepopunda! Kazi aliyoweza ni kusema "Elimu Elimu Elimu" tu basi halafu pumzi inakata.
Afadhali karudi alikotoka maana alikinajisi Chama.
Usipende sana kumtaja Baba yako kwenye mabishano, ukasababisha kutukaniwa mzazi wako.Babangu kawabeba sana Chadema 2015 hadi mmemchosha mapimbi nyie
Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
Yeah jamaa anaenda kubadirisha hali ya kisiasa nchini. Ila ni vyema hatukuwasikia kwa muda mrefu wanasiasa wacha tujue mbivu na mbichi ni zipi sio kila siku kusikia ambayo hayatugusi wananchi moja kwa moja.Hiyo ndio maana ya game changer.
WH sasa mnamuogopa kwa kuvipiga pin vyombo vya habari kitangaza habari zake?Yale yale ya mwaka 2015,Niko hapa kahama sioni shamla shamla yoyote,na isitoshe wamewekewa mafuta lita mbili kila bodaboda sasa hata kama in mimi kwanini nisijifanye nampenda Huyo lissu wenu
Ukweli mtaujua October, hamtarudia tena kumsimamisha huyu lissu maana kipigo atakachopata ni cha jini kahaba
Kama wali wa kushiba huonekana kwa macho, Nyomi la Lowassa unaweza kulifananisha na huyu mropokaji. Mbona Lowassa hakua Rais?Mkuuu wali wa kushiba huonekana hata kwa macho ...lissu ndo rais ajaye 2020 kubali kataa hbr ndo hiyo
Nyomi ya lowassa ni cha mtoto ..ya mwaka huu ni zaidi ..hapo ujue tuna test mitambo tu ..hvyo tulieni tulieni dawa iwaingie vzrKama wali wa kushiba huonekana kwa macho, Nyomi la Lowassa unaweza kulifananisha na huyu mropokaji. Mbona Lowassa hakua Rais?
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
WametelezaAlaf wanasema eti Wanatekeleza[emoji38][emoji38][emoji38]
Walidaganyana kununua wabunge na madiwani wakifikiri wametatua kero za wanchiEti CHADEMA imekufa, mfyooooooooooooooooooooooooooo, wafe wao na Jiw wao!
Jitu hata nauli ya kutoka huko Buza kwenda Lumumba mpaka Polepole akenueHuyu hata nauli ya kurudi kijijini kwao hana
Walivyo na akili ndogo sijui kama wanajifunza kitu!Walidaganyana kununua wabunge na madiwani wakifikiri wametatua kero za wanchi
Bibie,sio "ata", ni "hata".Hamna chochote huyu Tundu Lissu. Hapati ata 15% ya kula zitakazopigwa