Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Hapo ilikuwa kabla magufuli hajaamrisha kukamatwa kwa walosema hawampi kura.
 
Nasikia kuwa huko Kagera mambo ni hivi. View attachment 1571628View attachment 1571629
Hakika nyie waongo na mnatafta Kiki huu umati wote unang'aa kwa nguo Safi za kijani et unatuambia wameropoka hawamtaki. Walai nawaambia watanzania wamemchagua Dr John P Magufuli na wamemchagua CCM.

Na wale waliokuwa wanatumia Kiki ya tetemeko povu leo limewatoka baada ya kuona umati Mkubwa ukimshangilia jemedari wao na Rais wao anayesubilia kuapishwa
Check umati huu
 
Huyo alienda kuwasanifu tu Bukoba aliishawambia yeye hakuleta tetemeko kisha hela yao ya mchango akaenda kujengea kiwanja cha ndege kijijini kwake.
 
Hapo watu wamesombwa kutoka hadi Uganda.
 
Wewe unaona ni kampeni au fiesta?? Tuanzie hapo kwanza
Acha kujifanya Chizi wewe unavunga as if macho yako yanaona palipo na wasanii tu. Jana ulimwangalia Mheshimiwa Rais alipokuwa Muleba na kwingineko alikopita je kulikuwa na wasanii??? Jibu ni no je mbona watu walijaa sana. Huu ni upendo wa watu kwa Rais na hata Kama wasanii wasipokuwepo tena wanajaa zaidi ya hapo

Kitu kingine waiteni wasaniii au mchukue Maroli Kama watakuja kwenu yaani mmeishiwa mvuto pamoja na hoja kwa ujumla
Mjiandae kuaibika baada ya uchaguzi

Hapa chini angalia picha za Jana Bila wasanii
 
Huyo alienda kuwasanifu tu Bukoba aliishawambia yeye hakuleta tetemeko kisha hela yao ya mchango akaenda kujengea kiwanja cha ndege kijijini kwake.
Watu wanampenda Magufuli Hadi basi na tarehe 28 utashuhudia Kama upinzani mtapata hata Jimbo moja Kagera
 
Mbona unalalamik
Mbona unalalamika Sana?!
 
Mbona unalalamik

Mbona unalalamika Sana?!
Mimi silalamiki ila nakushangaa kujifanya Chizi wa kutokuwa unaangalia matukio ambayo yanakushika na unaangalia tu matukio unayotolea pumba zako za kutuletea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…