Acha kujifanya Chizi wewe unavunga as if macho yako yanaona palipo na wasanii tu. Jana ulimwangalia Mheshimiwa Rais alipokuwa Muleba na kwingineko alikopita je kulikuwa na wasanii??? Jibu ni no je mbona watu walijaa sana. Huu ni upendo wa watu kwa Rais na hata Kama wasanii wasipokuwepo tena wanajaa zaidi ya hapo
Kitu kingine waiteni wasaniii au mchukue Maroli Kama watakuja kwenu yaani mmeishiwa mvuto pamoja na hoja kwa ujumla
Mjiandae kuaibika baada ya uchaguzi
Hapa chini angalia picha za Jana Bila wasanii
View attachment 1571647