Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

..ccm wanaweza kutumia tukio hilo kuanza kumfanyia fujo TL na wapinzani.

..ni afadhali yule ambaye hakipendi chama au mgombea fulani asihudhurie mikutano ya chama hicho.


Wanaoeneza uvumi huu hawajui madhara wanayoyafanya kwa mgombea wao. Akienda kule, wenye hasira na uvumi huu wanaweza kumzomea akakosa pa kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…