johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda Ikulu ya DRC!Subirini tu mh Lissu akiingia ikulu tu mjiandae kurudi kwenu Burundi, washuti nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Ikulu ya DRC!Subirini tu mh Lissu akiingia ikulu tu mjiandae kurudi kwenu Burundi, washuti nyie
Malori yamesomba watu sana sana wakiwatoa vijijini mbali sana.Halafu bwana Bashiru juzi katukataliaView attachment 1572215
Kwakuwa wewe ni mtoa uhai wacha tukuamini kwa kuwapqngia watu kifo.Mwaka 2100? lissu mwenyewe atakuwa alishajifia zamani.
Inaonyesha kuwa wewe ni mhamiaji haramu kutoka beni.Labda Ikulu ya DRC!
..ccm wanaweza kutumia tukio hilo kuanza kumfanyia fujo TL na wapinzani.
..ni afadhali yule ambaye hakipendi chama au mgombea fulani asihudhurie mikutano ya chama hicho.