Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Week sasa waanzisha uzi wa siasa hasa za ccm na wanaokomenti wana kadi mpya (member) za usajili, kweli wameamua kuvamia jukwaa.

Mna bahati kutafuna kodi zetu.
 
Kina Malema wako wengi, hata hapa tunaye Malema wa Tz, Mr........TL!!

Hawezi kuwa Raisi maisha yote ya nchi hii, Kwa kuwa silika yake ni kupiga kelele na Ikulu hatupeleki wapiga kelele!
 
Kina Malema wako wengi, hata hapa tunaye Malema wa Tz, Mr........TL!!

Hawezi kuwa Raisi maisha yote ya nchi hii, Kwa kuwa silika yake ni kupiga kelele na Ikulu hatupeleki wapiga kelele!
Huyo ndiye rais wako wa awamu ya sita, jiandae kumeza vipande vya chupa tu
 
Wapinzani wote wnajitambua na wana tumia akili siyo kama nyinyi wachumia tumbo wa lumumba
Ni kweli Wapo, Ila siyo hicho unachokisifia mkuu pamoja na wewe, nyie ndo hamna kabisa, na Kwa kuwa upinzani ni Vyama Vyote nchini vinavyogombania kuitoa ccm, Wapo kweli watu wazuri, lakini hicho mnachokifagilia....... 😂😂😂
 
Ni kweli Wapo, Ila siyo hicho unachokisifia mkuu pamoja na wewe, nyie ndo hamna kabisa, na Kwa kuwa upinzani ni Vyama Vyote nchini vinavyogombania kuitoa ccm, Wapo kweli watu wazuri, lakini hicho mnachokifagilia....... [emoji23][emoji23][emoji23]
Safari hii tunahitaji pia kufanya mdaharo kwa wagombea woote wa kiti cha urais, pia tunaomba itumike lugha ya kimataifa ya kiingereza
 
Safari hii tunahitaji pia kufanya mdaharo kwa wagombea woote wa kiti cha urais, pia tunaomba itumike lugha ya kimataifa ya kiingereza
Unajua nini mkuu, Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kufanya mdahalo na Mgombea asiye na sifa za kuwa raisi, hata ingelikuwa ni wewe Ndiyo unagombea Uraisi eti ufanye mdahalo na Tl, utajidharilisha Sana kufanya mdahalo na mtu asiyefahamu nini maana ya kuwa kiongozi ni lipi anaweza kuongea, Kwa wakati gani na lipi asiongee!!!!

Mshamba Sana huyu mtu wenu
 
Safari hii tunahitaji pia kufanya mdaharo kwa wagombea woote wa kiti cha urais, pia tunaomba itumike lugha ya kimataifa ya kiingereza

Mdahalo afanye Lissu na chipukizi wa CCM ndio level zake ila sio JPM. Izo ni level tofauti ni sawa na Kutaka mwakinyo apigane na Myweather
 
Unajua nini mkuu, Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kufanya mdahalo na Mgombea asiye na sifa za kuwa raisi, hata ingelikuwa ni wewe Ndiyo unagombea Uraisi eti ufanye mdahalo na Tl, utajidharilisha Sana kufanya mdahalo na mtu adiyefahamu nini maana ya kuwa kiongozi ni lipi unaweza kuongea Kwa wakati gani na lipi asiongee
Fent Fod!
 
Mdahalo afanye Lissu na chipukizi wa CCM ndio level zake ila sio JPM. Izo ni level tofauti ni sawa na Kutaka mwakinyo apigane na Myweather
Akili zako ni za karne ya zidumu fikra za mwenyekiti wa chama
 
Kwani kuna ugumu gani kutoka upande wenu? Kitu gani mnakiogopa?
Tumeshasema hatuna mpango wa kufanya mdahalo kwasababu hauna manufaa yeyote kwetu.

Kama mnaona unawafaa sana kafanyeni na lipumba au Rungwe maana nao ni wagombea pia.
 
Back
Top Bottom