Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Fiesta inaendeleaa leo kuna wasanii gani wako kwenye tamasha?
 
Huyo ndiye rais wako wa awamu ya sita, jiandae kumeza vipande vya chupa tu
Na ikitokea eti Ndiyo amekuwa Raisi.....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sjui itakuweje tu, Tanzania itakuwa imeweka historia ya hovyo Sana kuwa na Rais wa hovyo, asiye amini usomi wa Watanzania wote, Raisi anayewadharau wasomi wooote na kuwaona wote ni wasomi uchwara

Yoote yaliyofanywa na wasomi miaka hii mitano kwake yote ni hovyo Tu!!
 
CCM, babalao.
 
Jiandae kurudi kwenu Burundi
 
Tumeshasema hatuna mpango wa kufanya mdahalo kwasababu hauna manufaa yeyote kwetu.

Kama mnaona unawafaa sana kafanyeni na lipumba au Rungwe maana nao ni wagombea pia.
Fent Fod
 
Jiandae kurudi kwenu Burundi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kisa nini mkuu? Kisa katawala Mtz/mbeligiji!!! Mwambie hii ni nchi yetu na hatuna uraia Pacha kama Yeye alivyo, asituharibie akitaraji kukimbilia Kwao kwingine
 
Kakusanya watu mikoa yote ya ziwa?
Wote ni makada na si wananchi waliokuja kuskiza kampeni.
Watu wanatumia lugha za kikabila na NEC-CCM hawasemi kitu.
Ni mkabila sana.
 
Uchaguzi bado, kuna mengi akiyarekebisha anaweza pata kura nyingi za watu wanaojielewa. 1) ajielekeze kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM, ngonjera za ya aliofanya zimekifu.2)apime anaongea wapi na akina nani, mwanakijiji hajui sgr, ndege au bwawa la umeme. 3) tuhuma za kukandamiza haki za binadamu zinajibiwa kimzaha sana na watendaji wake, ana wajibu kuelezea. Ni mengi, naishia hapo.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hii nyomi ya bukoba Mimi namashaka nayo nilichojiuliza kweli saa mbili watu wajae kiasi kile kama hii nyomi hii halali basi kuna jambo kubwa huyu mgombea kawafanyia watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…