Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Ikulu si mahali pa hivyo! Unahitaji kuwafikiria watanzania wote unapokuwa ikulu. Hiyo mieleka jukwaani ya nini? Si angeniita nikajipanga naye maana nilikuwepo uwanjani, Usalama wa taifa wangekuja kumuokoa
 
Katia aibu dunia nzima. Haijawahi tokea!! hapo ni sawa na kuhani kuanza kupiga push up madhabahuni!! kajidhililisha sana!!
Ikulu watu hawaendi kubeba zege!!
 
Hatutafuti mpiga push up, tunatafuta Rais wa nchi.

Raisi anatakiwa awe fit mlinzi wake akimwambia timka kuna hatari awe na uwezo wa kutimua mbio kuokoa maisha yake.Raisi hatakiwi kuwa mbende mbende hawezi hata kukimbia.Kutembea tu shida.Atakuwa zigo kwa mabodi guard.
 
Mr Misifa kazini.......kwa hy tunasaka rais wa kupiga push up tz.
Mungu epushia mbali huyu mropokaji asiwe rais.
 
Hivi watu mnakosa hata ya kulinganisha maana nadhani ni hoja za kukurupuka kama yule jamaa wa futuhi hivi ulipo hapo wewe unaweza kukimbia marathon na babu yako au baba yako
Moja ya sifa ya kwenda Ikulu ni kuwa "FIT". Tatizo lenu nyie UKAWA hamsomi hata sifa za kuwa mgombea wa Urais ni zipi. Mmebakia kuwa wafuata Mkumbo tu. Mlete Lowassa aje afanye push ups tuone kama yupo fit.
 
Aangalie asije akaj..............ba mbele ya halaiki
 

afya kwa vitendo demo kidogo
 
Ama kweli rais wa kujipima kwa push up kwani anjiandaa na usaili wa kujiunga na jeshi nadhani wakati anamaliza form six JKT ilikuwa imesitishwa anayofanya mwenzie kayafanya zaidi ya hayo kwa vile yupo Bukoba aende kambini Kaboya akaruke vikwazo asiishie hiyo push up jeshini huwa ni sehemu ya adhabu nahisi ana makosa aliyowahi kuyatenda hapo nyuma
 
Nyie mnaona push up za kawaida, lakini hiyo ni salamu tosha kwa mafisadi na wazembe wajiandae kwa masumbwi. Hapo anapasha misuli kwa ajiri ya wazembe na mafisadi na wasio fuata sheria.
 


Hamumtesi Lowassa tu , munatutesa hata sisi , kwa maana hivi majuzi, CCM wamepeleka askari wa KMKM , KVZ, na janjaweed , wakiwa na bunduki, sokoni Tomondo zanzibar, na kuvunja soko, kuiba gunia za viazi vya chips, wameiba baiskeli kwa fundi wa baisikeli, wakaiba mashine ya kukamulia miwa na kutia moto .

Wakavunja vunja kila kitu hapo sokoni

Hongera Magufuli unatuonyesha misuli yako. CCM OYEE
 

 
Moja ya sifa ya kwenda Ikulu ni kuwa "FIT". Tatizo lenu nyie UKAWA hamsomi hata sifa za kuwa mgombea wa Urais ni zipi. Mmebakia kuwa wafuata Mkumbo tu. Mlete Lowassa aje afanye push ups tuone kama yupo fit.

Mgonjwa mgonjwa lkn adi leo anapiga compain zake vzr na hajaahirisha ata siku moja ....siku akiamua kuonesha picha zake akiwa gym ndipo mtafunga midomo na kuacha kumchawia baba wa watu....na nyie pia mnawazazi wenu waambien wafanye anayofanya magu....
 

View attachment 289859
 
Mr Misifa kazini.......kwa hy tunasaka rais wa kupiga push up tz.
Mungu epushia mbali huyu mropokaji asiwe rais.

Ila tunamtaka Raisi anayeumwa ugonjwa huu

Parkinson's disease affects the nerve cells in the brain that produce dopamine. Parkinson's disease symptoms include muscle rigidity, tremors, and changes in speech and gait. After diagnosis, treatments can help relieve symptoms, but there is no cure.
 
Moja ya sifa ya kwenda Ikulu ni kuwa "FIT". Tatizo lenu nyie UKAWA hamsomi hata sifa za kuwa mgombea wa Urais ni zipi. Mmebakia kuwa wafuata Mkumbo tu. Mlete Lowassa aje afanye push ups tuone kama yupo fit.


Logic ya jambo hili nini,,,au ni sehemu ya sera / ilani ya chama au sehemu ya matatizo ya tanzania na watanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…