Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Kila la heri Rais wa awamu ya sita Mhe Tundu Antipas Lissu....kama ambavyo hawaamini risasi 16 haijakuzima, vivyo hivyo hakuna wakukuzima October 28 kuingia Ikulu
Daah!! Pole Sana mkuu"
 
population ya Dar ni tofauti by far na mikoa mingine yote
 
Sasa hivi ni 3:01 mchana, lakini hatujapata picha kutoka eneo la tukio, hii unaonyesha kitego cha propaganda bado kinaendelea kuhalili picha ili baadaye muanze kuhadaa Umaa eti Lisu anakubalika.
hamna watu unataka warushe uwanja mtupu au?
 
We msukule wa lumumba population ya Dar ni tofauti by far na mikoa mingine yote
pouplation au kwa kanda? sasa mbona unabwabwaja uongo kuwa mnazindua kwa kanda? Lakini turudi nyuma kama kweli mnazindua kwa population mbona mlipata watu wachache mbagala,kawe na segerea Dar es salaam kuliko Arusha au Mwanza? hiyo logic ya population mbona haieleweki?
 
Kitu gani kinakukera kwani.......??!!

Watz kutaka mabadiriko?
 
Hivi ni kwanini kila Mkutano wa Lisu mnaita ni ya uzinduzi wa kampeni? Na kule Mbagala Zakhiem mlizindua nini?
Sasa Shangaa siku tukianza kampeni halisi itakuwaje !
 
Lisu kamkimbia JPM ilikuwa wakutane Tinde wasalimiane, Lissu akazuga kwenda kwanmganga wakienyeji alikopitia sijui kaibukia tabora
Lisu na magufuli nani anae mkimbia mwenzake mbona magufuli anaogopa mdahalo na aliogopa siku ile alipo wekewa pingamizi wakutate mkurugenzi akaijifanya yy anajua

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi ni 3:01 mchana, lakini hatujapata picha kutoka eneo la tukio, hii unaonyesha kitego cha propaganda bado kinaendelea kuhalili picha ili baadaye muanze kuhadaa Umaa eti Lisu anakubalika.
Tulia wewe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…