Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Ccm wanadhambi sana yani....Tupo kusini tunaendelea kuwadanganya watanzania masikini.wanaishi kwenye nyumba za majani na wanatembea bila kuvaa viatu.View attachment 1557498View attachment 1557499