Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Huo ni wajibu wa serikali kuwaletea watu miundombinu mbali mbali ikiwemo maji. Labda wananchi ambao hawajui wajibu wa serikali kwao.Mradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.
Ccm bana, hamkawii kusema neno uzinduzi ni mali ya TID na mna hati miliki, kwani wakisema uzinduzi wewe unapungukiwa niniHivi ni kwanini kila Mkutano wa Lisu mnaita ni ya uzinduzi wa kampeni? Na kule Mbagala Zakhiem mlizindua nini?
Ndio ujue Ccm imetimiza wajibu wake. Maana kuna serikali viongozi wanatafuna pesa tu. Kwa hiyo hukuru Ccm kwa kupambana na wabadhirifu.Huo ni wajibu wa serikali kuwaletea watu miundombinu mbali mbali ikiwemo maji. Labda wananchi ambao hawajui wajibu wa serikali kwao.
Magufuli anaongea straight na wapiga kura. Akaongee na Lisu kwenye mdahalo wa nini wakati sio mpiga kura wakeLisu na magufuli nani anae mkimbia mwenzake mbona magufuli anaogopa mdahalo na aliogopa siku ile alipo wekewa pingamizi wakutate mkurugenzi akaijifanya yy anajua
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Imo humu jamii forumsRatiba ya nec umeiona?
Baba huu umeletwa na Rais wa awamu ya 6 tunamuita fundiHuo umati umeletwa na wasanii au?
Sasa hilo ni jambo ambalo haliwezi kuwabeba kwa sababu hata hao wapiga kura wasipokichagua hicho chama, maji waliyoyaleta yataendelea kuwepo, Raia wa maeneo hayo wasifanye makoda chagueni haki dhidi ya dhulma.Ndio ujue Ccm imetimiza wajibu wake. Maana kuna serikali viongozi wanatafuna pesa tu. Kwa shukuru Ccm kwa kupambana na wabadhirifu.
Picha za Hamonize kuwasili Tabora msilete usanii Chadema mseme za kuwasili Lisu Hiyo videoDuuuh hatari sana hii
Heh! Na bendera ya chadema?Hii video ya kuwasili alikuja hapo Tabora Harmonize ndio mnaifanya ya Lisu kuwasili Tabora leo? Chadema mbona mnapenda usanii?
Magufuli ananadi ilani ya chama chake so usitegemee atapoteza muda kujibu mipasho ya Lissu na jamaa zakeAh huyu Magufuli ni mweupe sana. Hawezi kujibu hata hoja moja ya Lissu
Pita hivi kilaza[emoji117]Huna akili kaa kimya.
Fuatilia Chadema media acha porojoPicha za Hamonize kuwasili Tabora msilete usanii Chadema mseme za kuwasili Lisu Hiyo video
@ChademaMediaChadema wanasubiri giza liingie ndio waanze kuleta picha za video walzoedit na picha zilizoeditwa zenye giza giza kuwa ndizo za mapokezi na mkutano wa Lisu Tabora
Angalia Hiyo video tarehe yake na maelezo ni ya tarehe 30 mwezi wa nane ni ya Harmonize chadema tayari wakasema yao! Ni wasanii hasa hawa watuHeh! Na bendera ya chadema?
Link iko wapi ?Fuatilia Chadema media acha porojo
Picha za Hamonize kuwasili Tabora msilete usanii Chadema mseme za kuwasili Lisu Hiyo video
Angalia title ya Hiyo video YouTube na description Hiyo ni ya HarmonizeHarmonise ndio kaja na Bendera za CHADEMA? Au hujatazama vizr?
Wewe pimbi watu wa harmonize huwa wanashika bendera za chadema siku hizi?Hii video ya kuwasili alikuja hapo Tabora Harmonize ndio mnaifanya ya Lisu kuwasili Tabora leo? Chadema mbona mnapenda usanii?
Editing washamaliza tayari aiseee.Kitengo cha editing cha Chadema kibokoWewe pimbi watu wa harmonize huwa wanashika bendera za chadema siku hizi?