Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kwanini Chadema mnang'ang'ania mdahalo na Magufuli? Lissu na chadema mmepewa miezi miwili na nusu muwaeleze watz mna Sera gani Sasa hamjamaliza mnaanza kutaka mdahalo. Katambi atakuja badala ya Magufuli, huyo ndo size yenu.Lisu na magufuli nani anae mkimbia mwenzake mbona magufuli anaogopa mdahalo na aliogopa siku ile alipo wekewa pingamizi wakutate mkurugenzi akaijifanya yy anajua
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Akili kubwaDar es salaam bi kubwa ina watu wengi. Imagine ibgekuwa mjutano mmoja wa Jangwani watu wale waliokusanyika Mbagala, Kawe na Tabata ingekuwaje??
Chadema chama la watu wenye akili. Kulikuwa hakuna sababu ya kusumbua wakazi wa temeke, kigamboni, buza, chamanzi kuja Mkutanoni Jangwani Ilala. Ikabidi Rais Mtarajiwa awakute huko huko kqa daida ya kuwafikia wengi kwa gharama ndogo na bila usumbufu wa mafoleni.
So mkutano wa Lissu Dar unganisha yote mbagala, kawe na Segerea. Ile ni sayansi sio utopolo wa ccm
Kwani.mgombea hajafika? Mbona watu ni wachache.Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora
=====
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.
Leo picha kamera hazinyanyuki juu😁😁😁😁 kisha mbona mnatumia nguvu nyingi sana mpaka midomo inatoa moshi?Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora
=====
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.
Wameenda kulaghai wazee mmoja ana miaka 54 mwingine 65 wanatoka dar wakachome ofisi za chadema Arusha??Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora
=====
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.
Hata hao waliopo hawana kadi za kupiga kura. Halafu wamekusanyika hapo Tweeter na facebook ya Tabora.Kwani.mgombea hajafika? Mbona watu ni wachache.
Salama ya Magufuli ni Jeshi la Akiba.Lissu Baba tukomboe katika hii vita ya kuminywa haki za binadamu. Ethiopia na madege yao Kama yote Pamoja na fly-overs lakini wanakimbia nchi kwenda kuwa manamba South Africa kwa uminywaji wa haki za binadamu nchini kwao.
Lissu tuvushe baba tuvuahe.
Kisha akitoka anapita mama samia kufuta nyayo ya chademaNashauri awe anasubiri anakopita CCM baada ya siku 2 Lissu anaenda kuzima hoja
Watarusha ya mkoa jirani hao yaani kama CDM hii ilimshindwa Magu hiki kituko cha mwaka huu kitaweza?Ngoja tuweke kabisa picha za mkutano wa Lowasa hapo Tabora 2015 msije chakachua mkasema wa Lisu
View attachment 1557477
View attachment 1557479
Havipo, kuna maendeleo gani?? YatajeHuvioni hapa Tanzania? Umezaliwa mwaka gani?
Acha utoto.Havipo, kuna maendeleo gani?? Yataje
Tatizo la Lissu na saccos yao wanalazimisha Mambo ambayo hayawezekani I'll wajenge hoja. Kwani lazima tundu Lissu aongee na Magufuli? Kama wanataka mdahalo wafanye Kuna wagombea urais zaidi ya 10 na hawajafanya mdahalo hata na mmoja kisa wanataka rais aache shughuli zake akaongee na huyo poyoyo wenu. Kafanyeni mdahalo na hao wengine mkimaliza ndo mseme kuhusu rais.Magufuli anaongea straight na wapiga kura. Akaongee na Lisu kwenye mdahalo wa nini wakati sio mpiga kura wake
Sema Lisu anahamgaika kutafuta media attention iliyomwacha kuwa akiwa na Magufuli na yeye atarushwa hewani asikike
labda Rais Wa mapaka ShumeKila la heri Rais wa awamu ya sita Mhe Tundu Antipas Lissu....kama ambavyo hawaamini risasi 16 haijakuzima, vivyo hivyo hakuna wakukuzima October 28 kuingia Ikulu
Who told you that I'm CHADEMA partisan?Hii video ya kuwasili alikuja hapo Tabora Harmonize ndio mnaifanya ya Lisu kuwasili Tabora leo? Chadema mbona mnapenda usanii?
Watu alionao waziri mkuu longido wanazidi wa hapo tabora sasa lisu atapita mlangao gani?Ah huyu Magufuli ni mweupe sana. Hawezi kujibu hata hoja moja ya Lissu
Magufuli ndio akina Joe Biden, hawezi kuthubutu kwenda kwenye mdahalo hata kama itagharimu urais, yuko radhi apoteze.Magufuli anaongea straight na wapiga kura. Akaongee na Lisu kwenye mdahalo wa nini wakati sio mpiga kura wake
Sema Lisu anahamgaika kutafuta media attention iliyomwacha kuwa akiwa na Magufuli na yeye atarushwa hewani asikike
Sasa si aende huko kwao akawaombe kura basi.He he hep he⁹ he he he heeeeee⁹ sera za kutaka Magufuli weeeeeee.ndiyo dare zipo hizo. Kubwabwaja kwamisemo ya kimahaka ndiyo nini. Kujenga kiwanjwa cha ndege ni nongwa. Kwani ni vibaya kujenga kwenu?