share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Anachoweza ni kula mahindi hovyo barabarani.Ah huyu Magufuli ni mweupe sana. Hawezi kujibu hata hoja moja ya Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachoweza ni kula mahindi hovyo barabarani.Ah huyu Magufuli ni mweupe sana. Hawezi kujibu hata hoja moja ya Lissu
Ndani ya Tabora
Hata ilivyo sasa ni sawa Magu ndiye ana kazi ya kuzima alichosema LissuNashauri awe anasubiri anakopita CCM baada ya siku 2 Lissu anaenda kuzima hoja
RubbishMradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.
Ndio madhara hayo ya kutegemea buku saba mwisho wa siku ata pesa ya bando unakosaAngalia Hiyo video tarehe yake na maelezo ni ya tarehe 30 mwezi wa nane ni ya Harmonize chadema tayari wakasema yao! Ni wasanii hasa hawa watu
Duh kumbe jamaa mshirikina namna hii.Lisu kamkimbia JPM ilikuwa wakutane Tinde wasalimiane, Lissu akazuga kwenda kwanmganga wakienyeji alikopitia sijui kaibukia tabora
Wananchi wa Ethiopia wanakimbia nchi yao kwababu Serikali yao, kama ya Magufuli, inajikita kwenye maendeleo ya vitu, watu wakiachwa masikini wa kutupa. Ethiopia ndo ina madege mengi kuliko nchi yoyote Afrika na ndo inayotuletea watalii videge vya Magufuli vikiwa vimepark Dar kama vimenyonyolewa mbawa. Bila mkandarasi toka Misri jirani yake au nchi yoyote duniani, Ethiopia imejenga Bwawa la umeme kubwa kuliko yote Afrika limekamilika na linajaza maji huku dimbwi la Magufuli la Stiegler's Gorge likiwa limebaki wimbo wa kila siku kila mahali. Pamoja na miradi hiyo mikubwa, Raia wa Ethiopia wataendelea kukimbia nchi yao na Tanzania kuwakamata baadhi na kuwarudisha kwao wakauwawe, kwa sababu umasikini wao utabaki palepale. Waithopia wanaajirika popote duniani lakini Wabongo hata hapa nyumbani waajiri hawawataki kwa sababu zinazoeleweka, badala ya kuwatayarisha waajirike, Rais wetu mpendwa anaiga Ethiopia kuleta madege na kujenga bwawa apate wimbo.Lissu Baba tukomboe katika hii vita ya kuminywa haki za binadamu. Ethiopia na madege yao Kama yote Pamoja na fly-overs lakini wanakimbia nchi kwenda kuwa manamba South Africa kwa uminywaji wa haki za binadamu nchini kwao.
Lissu tuvushe baba tuvuahe.
Chizi kweli wewe. Tabora Nzega kulikuwa na barabara ya lami? Huo ni mfano tu.Rubbish
Tangu 1961 mradi wa maji kisha unajisifia
Ila vijana kati ya miaka 18-35 wasiokuwa na ajira na pia wakulima wa pamba hawawezi kumuelewa mtu anayesema tano tena wakati wao wanapumulia mashine.Mradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.
Barabara za Tabora hadi kaliua huko then nguruka mpaka Uvinza zilijengwa tokea kikwete hata Tabora nzega lami imeanza jengwa tokea Kikwete let alone itigi tabora toka kikwete.Chizi kweli wewe. Tabora Nzega kulikuwa na barabara ya lami? Huo ni mfano tu.
Kuzima hoja zipi, Sera ya JPM n kuwatumikia Watanzania na Sera T.A.L ni kuwaabudu Mabeberu 😀😀😀😀😀😀😀😀Nashauri awe anasubiri anakopita CCM baada ya siku 2 Lissu anaenda kuzima hoja
[emoji23][emoji23][emoji23] nalo nenoNashauri awe anasubiri anakopita CCM baada ya siku 2 Lissu anaenda kuzima hoja
Dar es salaam ni kubwa ina watu wengi. Imagine ingekuwa mkutano mmoja wa Jangwani watu wale waliokusanyika Mbagala, Kawe na Tabata ingekuwaje??mmm
Uongo sio zonal inauguration wewe acha hizo.Ingekuwa ni Zonal Dar es salaam mngezindua jimbo moja tu mbona ilikuwa majimbo matatu ndani ya mkoa mmoja? uzinduzi ulikuwa mbagala huku kwingine mnatapeli tu kama uzinduzi ni zonal ? Kawe na Segerea DAR ES SALAAM mlienda zindua nini wakati yote majimbo yaliyoko zone moja sawa na mbagala?
Wanataka ushoga uruhusiwe mkuu, Achana naoUsilinganishe Ethiopia na Tanzania. Njoo kahama watu wanakula mchele na kusaza ndio ulinganishe na nchi ambayo ina ukame miaka 40.
Haki za binadamiu zipi zinazominywa? Watu wanashinda kwenye vijiwe vya kahawa mpaka saa nne usiku wanajadili siasa.
Usilinganishe Ethiopia na Tanzania. Njoo kahama watu wanakula mchele na kusaza ndio ulinganishe na nchi ambayo ina ukame miaka 40.
Haki za binadamiu zipi zinazominywa? Watu wanashinda kwenye vijiwe vya kahawa mpaka saa nne usiku wanajadili siasa.
Kwani mradi wa maji kutoka Mwaanza kwenda Shinyanga si umeanza tokea awamu ya nne? Jambo ambalo mnatakiwa kujua ni kuwa ni utekelezaji wa Ccm kuwapatia maendeleo wananchi tokea tunapata uhuru.Barabara za Tabora hadi kaliua huko then nguruka mpaka Uvinza zilijengwa tokea kikwete hata Tabora nzega lami imeanza jengwa tokea Kikwete let alone itigi tabora toka kikwete.
Mtani takwimu hazihitaji siasa
Mnatumiwa vibaya na mabeberuKupingwa risasi 16, Robert Amsterdam kaandika barua, Ana kesi nyingi. Ndo hoja zake.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Jibu unalo unafanya mdahaloWakati wa uchaguzi wa 2015 ilikuwa ni midahalo ya kushindanisha hoja na kukata issue kuanzia mitaani, kwenye kumbi, na kwenye TV ndio usiseme. Sasa hivi angalia kwenye TV kama kuna mijadala yoyote ya uchaguzi, kuna midahalo yoyote ya uchaguzi? Unakumbuka ile midahalo ya kigoda cha mwalimu chini ya mzee Butiku? Leo hii umeona wapi mdahalo wowote?
Likija swala la sera Lissu ni mweupe, Magu tu hataki kufanya mdahalo lakini anamtoa Lissu knockout kirahisi sana. Lissu anahemkwa tu hana ajualo zaidi ya hizo sheria zake, kitakwimu ni mweupe tu.