mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Press conference za Polepole hazina mvuto ,hua anaharibu zaidiLeo Ccm Nchi Nzima Masikio Ni Pemba Kujua Nini Kinakwenda Kuongelewa, Kesho Utasikia Pole Pole Anaongea Na Wana Habari Kupooza Joto
Mkuu mbona kwa muda mrefu kila nikisoma jumbe zako nyingi zinahusiana na mambo ya GIZANI vipi unahusika kikamilifu au unajaribujaribuNimeroga uchaguzi huu mpaka nanuka tunguli
upinge muungano kivipi umetoa ajira maelfu kwa wazanzibari wizara ya mambo ya ndani na jeshiniLeo tunapata Elimu mujarabu ya muungano na leo ndio ccm itakuwa imefagiliwa kabisa huko visiwani
Hata TECNO yangu W3 inaweza kuandika hivyo?[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Kuna mtu mwenye akili timamu apoteze bundle lake kumsikiliza Chakubanga?upinge muungano kivipi umetoa ajira maelfu kwa wazanzibari wizara ya mambo ya ndani na jeshini
Wazanzibari wapenda muungano ni wengi kuliko wasioupenda
Wazanzibar wasioupenda muungano ni viongozi wa kisiasa wa zanzibar wa upinzani ambao hutafuta tu kura wakishinda huwasikii tenda wakiongelea muungano.Seif alikuwa makamu wa Raisi wa ZNZIBAR alipopata umakamu akaufyata kimya hakuongelea muungano
Pia kwa Tanzania bara wasiotaka muungano ni viongozi wa upinzani tu akina Lisu wakitafuta tu gia ya kura kwa wanasiasa wenzao wa Zanzibar .Mtanzania bara wa kawaida wala hana shida na muungano
Lisu na maalim seif muungano wao ni wa viongozi wa siasa sio wanachama asubiri tarehe 28 october aone atakavyonyolewa
Asikilize hii clip ndio atajua zanzibar atanyolewa asikilize kuanzia mwanzo hadi dakika ya tatu hivi
Kwa hiyo waliouanzisha walikosea?Lisu ndiye tegemeo pekee kwa wazanzibari kuhusu muungano ameupigania kwa muda mrefu
Zimebakia dakika chache uwe kichaa lazima dose iongezwe ilikuziia hiyo hali isitokee tafadhali wakati wa sindano usikate unoupinge muungano kivipi umetoa ajira maelfu kwa wazanzibari wizara ya mambo ya ndani na jeshini
Wazanzibari wapenda muungano ni wengi kuliko wasioupenda
Wazanzibar wasioupenda muungano ni viongozi wa kisiasa wa zanzibar wa upinzani ambao hutafuta tu kura wakishinda huwasikii tena wakiongelea muungano.Seif alikuwa makamu wa Raisi wa ZANZIBAR alipopata umakamu akaufyata kimya hakuongelea muungano tena
Pia kwa Tanzania bara wasiotaka muungano ni viongozi wa upinzani tu akina Lisu wakitafuta tu gia ya kura kwa wanasiasa wenzao wa Zanzibar .Mtanzania bara wa kawaida wala hana shida na muungano
Lisu na maalim seif muungano wao ni wa viongozi wa siasa sio wanachama asubiri tarehe 28 october aone atakavyonyolewa
Asikilize hii clip ndio atajua zanzibar atanyolewa asikilize kuanzia mwanzo hadi dakika ya tatu hivi
Sijaelewa unachomaanisha, kwani anayetoa kura za uongozi ni viongozi wachache wasioutaka muungano au RAIA wengi wanaoutaka muungano? Iweje viongozi wa upinzani waseme hawataki muungano ili tu wapate kura kutoka kwa raia wengi wanaoutaka muungano?upinge muungano kivipi umetoa ajira maelfu kwa wazanzibari wizara ya mambo ya ndani na jeshini
Wazanzibari wapenda muungano ni wengi kuliko wasioupenda
Wazanzibar wasioupenda muungano ni viongozi wa kisiasa wa zanzibar wa upinzani ambao hutafuta tu kura wakishinda huwasikii tena wakiongelea muungano.Seif alikuwa makamu wa Raisi wa ZANZIBAR alipopata umakamu akaufyata kimya hakuongelea muungano tena
Pia kwa Tanzania bara wasiotaka muungano ni viongozi wa upinzani tu akina Lisu wakitafuta tu gia ya kura kwa wanasiasa wenzao wa Zanzibar .Mtanzania bara wa kawaida wala hana shida na muungano
Lisu na maalim seif muungano wao ni wa viongozi wa siasa sio wanachama asubiri tarehe 28 october aone atakavyonyolewa
Asikilize hii clip ndio atajua zanzibar atanyolewa asikilize kuanzia mwanzo hadi dakika ya tatu hivi
Adhabu haiishi tu?Huyu maalim si kapewa azabu na tume huyu. Asijaribu kutafuta matatizo hata kidogo
lisu kweli ni mzee wa kazi