Zanzibar 2020 Yaliyojiri Tibirizi, Pemba mkutano wa kufunga kampeni ya Maalim Seif. Tundu Lissu ahudhuria

Zanzibar 2020 Yaliyojiri Tibirizi, Pemba mkutano wa kufunga kampeni ya Maalim Seif. Tundu Lissu ahudhuria

Today is a turning point to all.
[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
t
 
Kuna watu wakisikia neno HAKI roho zinawapasuka!! hawa waulizwe kwa nini neno hili likitajwa wanaungua moto ndani ya mioyo yao? je wamefanyanya nini?

wao wanataka kusikia AMANI tu, ila HAKI hapana, haiwahusu..... hao kaa nao mbali ewe Mtanzania.
 
Sijaelewa unachomaanisha, kwani anayetoa kura za uongozi ni viongozi wachache wasioutaka muungano au RAIA wengi wanaoutaka muungano? Iweje viongozi wa upinzani waseme hawataki muungano ili tu wapate kura kutoka kwa raia wengi wanaoutaka muungano?
Ndio ushangae Tanzania bara wengi wanataka muungano Zanzibar pia halafu utashangaa kuona upinzani wanaongelea kupinga muungano nawanagombea uraisi wa muungano fikiria mtu kama Lisu akili zimo kweli anagombea uraisi wa muungano Halafu anasema haitaki muungano kuna kura za wapenda muungano atazipata kweli
 
Mgombea Urais wa Tanzania anayeelekea kushinda Tundu Lissu leo atatikisa visiwa vya Pemba.

Pemba ngome Kuu ya ACT wanatarajiwa kumlaki kwa kishindo mgombea huyo wa Urais ambaye chama chake na ACT Wana urafiki wa Damu.

ACT Wazalendo imetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu nafasi ya Urais wa Muungano huku CDM ikitangaza kumuunga mkono Maalim Seif nafasi ya Urais Zanzibar

Updates saa 2.30 asubuhi

Tayari mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amewasili kisiwani Pemba hivi sasa tayari kwa mkutano wa kampeni za mgombea Urais Chadema ambao utahudhuriwa pia na viongozi mbalimbali wa ACT

========

Sheikh PONDA: Huu uchaguzi msingi wake ni kuhakikisha haki inapatikana lakini haki haipatikani kwa kuomba, haki inachukuliwa. Huu ndio mkakati katika uchaguzi huu. Mko tayari kuchukua haki zenu?

Mmesikiliza dua aliyoiomba baba Askofu, imezungumza lugha hii ninayoizungumza mimi, hii ndio lugha ya wakristo Tanzania, ndio lugha ya Waislamu Tanzania. Ndio lugha ya viongozi wa vyama vikubwa vya siasa Tanzania kwamba tunachukua haki yetu safari hii.

Tutahakikisha yule ambae aloshinda kwa kura za wananchi huyo ndie ambae anatangazwa.

JUSSA: Langu la kwanza, mara hii kama walidhamiria kuifisidi Pemba basi CCM itaangushwa Unguja. Waliengua wagombea
wakadhani watawavunja moyo wana-ACT wazalendo na wazanzibari lakini nikupeni habari za Kisiwandui?

Kisiwandui wanalizana vilio mtindo mmoja, uchaguzi huu hausimamiwi na ZEC na NEC kama tulivyozoea miaka ya nyuma. Mara hii kuthibitisha ukoloni wao wameletwa maafisa usalama kutoka Tanganyika kuja kusimamia uchaguzi wa Zanzibar.

Lakini ambalo hawakulikumbuka afisa usalama hawawezi kubadili msimamo wa wananchi wa Unguja na Pemba katika tunalolitaka.


=======

Pichani ni mgombea Urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo ndugu, Seif Sharif Hamad akimuombea kura mgombea Urais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania ndugu, Tundu A. Lissu leo 22 Oktoba 2020 katika Viwanja vya TIBIRINZI Pemba.

#ZanzibarYenyeMamlakaKamili
Maalimu Seif si mgombea tena wa kiti cha urais,
 
1603363768192.png
 

Attachments

  • 1603363826318.png
    1603363826318.png
    499 KB · Views: 3
Ndio ushangae Tanzania bara wengi wanataka muungano Zanzibar pia halafu utashangaa kuona upinzani wanaongelea kupinga muungano nawanagombea uraisi wa muungano fikiria mtu kama Lisu akili zimo kweli anagombea uraisi wa muungano Halafu anasema haitaki muungano kuna kura za wapenda muungano atazipata kweli
Wazanzibari hawataki hata kuusikia huyu Muungano..

Aliebakia kujipendekeza kwa Muungano ni wewe tu

Hata Aboud Jumbe Mwinyi raisi wa Pili wa Zanzibar aliukataa
 

Attachments

  • IMG_20201022_140020.jpg
    IMG_20201022_140020.jpg
    113.7 KB · Views: 3
Leo CCM Nchi Nzima Masikio Ni Pemba Kujua Nini Kinakwenda Kuongelewa, Kesho Utasikia Pole Pole Anaongea Na Wana Habari Kupooza Joto
Pemba huijui ni ngome ya vyama vinne kuna CCM Pemba ndiko alikozaliwa Raisi Mohamed Shein na ndiko alikozaliwa mama Siti Mwinyi mama yake mgombea uraisi wa sasa wa Zanzibar Hussain Mwinyi pili Pemba ni ngome ya chama cha CUF cha Lipumba tatu Pemba ni ngome ya chama cha ADC cha Hamad Rashid Mohammed kimeshatoa hadi waziri wa serikali ya Zanzibar Kule cha nne ni ACT Maalim Seif Pemba atashindwa mapema tu asubuhi
 
Back
Top Bottom