Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
t[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
😆😆😆😆Molemo mbona kama umekimbia vile?
Anaitwa jina jipya la Moyo wa chumalisu kweli ni mzee wa kazi
Jiandae tu kuwa mpinzani 2020-2025Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Ndio ushangae Tanzania bara wengi wanataka muungano Zanzibar pia halafu utashangaa kuona upinzani wanaongelea kupinga muungano nawanagombea uraisi wa muungano fikiria mtu kama Lisu akili zimo kweli anagombea uraisi wa muungano Halafu anasema haitaki muungano kuna kura za wapenda muungano atazipata kweliSijaelewa unachomaanisha, kwani anayetoa kura za uongozi ni viongozi wachache wasioutaka muungano au RAIA wengi wanaoutaka muungano? Iweje viongozi wa upinzani waseme hawataki muungano ili tu wapate kura kutoka kwa raia wengi wanaoutaka muungano?
Maalimu Seif si mgombea tena wa kiti cha urais,Mgombea Urais wa Tanzania anayeelekea kushinda Tundu Lissu leo atatikisa visiwa vya Pemba.
Pemba ngome Kuu ya ACT wanatarajiwa kumlaki kwa kishindo mgombea huyo wa Urais ambaye chama chake na ACT Wana urafiki wa Damu.
ACT Wazalendo imetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu nafasi ya Urais wa Muungano huku CDM ikitangaza kumuunga mkono Maalim Seif nafasi ya Urais Zanzibar
Updates saa 2.30 asubuhi
Tayari mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amewasili kisiwani Pemba hivi sasa tayari kwa mkutano wa kampeni za mgombea Urais Chadema ambao utahudhuriwa pia na viongozi mbalimbali wa ACT
========
Sheikh PONDA: Huu uchaguzi msingi wake ni kuhakikisha haki inapatikana lakini haki haipatikani kwa kuomba, haki inachukuliwa. Huu ndio mkakati katika uchaguzi huu. Mko tayari kuchukua haki zenu?
Mmesikiliza dua aliyoiomba baba Askofu, imezungumza lugha hii ninayoizungumza mimi, hii ndio lugha ya wakristo Tanzania, ndio lugha ya Waislamu Tanzania. Ndio lugha ya viongozi wa vyama vikubwa vya siasa Tanzania kwamba tunachukua haki yetu safari hii.
Tutahakikisha yule ambae aloshinda kwa kura za wananchi huyo ndie ambae anatangazwa.
JUSSA: Langu la kwanza, mara hii kama walidhamiria kuifisidi Pemba basi CCM itaangushwa Unguja. Waliengua wagombea
wakadhani watawavunja moyo wana-ACT wazalendo na wazanzibari lakini nikupeni habari za Kisiwandui?
Kisiwandui wanalizana vilio mtindo mmoja, uchaguzi huu hausimamiwi na ZEC na NEC kama tulivyozoea miaka ya nyuma. Mara hii kuthibitisha ukoloni wao wameletwa maafisa usalama kutoka Tanganyika kuja kusimamia uchaguzi wa Zanzibar.
Lakini ambalo hawakulikumbuka afisa usalama hawawezi kubadili msimamo wa wananchi wa Unguja na Pemba katika tunalolitaka.
=======
Pichani ni mgombea Urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo ndugu, Seif Sharif Hamad akimuombea kura mgombea Urais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania ndugu, Tundu A. Lissu leo 22 Oktoba 2020 katika Viwanja vya TIBIRINZI Pemba.
#ZanzibarYenyeMamlakaKamili
Jiandae tu kuwa mpinzani 2020-2025
Lissu anafanya utalii wa ndani,hakuna jipya zaidi ya kufangasha virago na kurudi Ubelgiji.Tunakufuatilia kwa karibu sana .
Mashetani wote wanaombea hivyo.Maalimu Seif si mgombea tena wa kiti cha urais,
Wazanzibari hawataki hata kuusikia huyu Muungano..Ndio ushangae Tanzania bara wengi wanataka muungano Zanzibar pia halafu utashangaa kuona upinzani wanaongelea kupinga muungano nawanagombea uraisi wa muungano fikiria mtu kama Lisu akili zimo kweli anagombea uraisi wa muungano Halafu anasema haitaki muungano kuna kura za wapenda muungano atazipata kweli
Pemba huijui ni ngome ya vyama vinne kuna CCM Pemba ndiko alikozaliwa Raisi Mohamed Shein na ndiko alikozaliwa mama Siti Mwinyi mama yake mgombea uraisi wa sasa wa Zanzibar Hussain Mwinyi pili Pemba ni ngome ya chama cha CUF cha Lipumba tatu Pemba ni ngome ya chama cha ADC cha Hamad Rashid Mohammed kimeshatoa hadi waziri wa serikali ya Zanzibar Kule cha nne ni ACT Maalim Seif Pemba atashindwa mapema tu asubuhiLeo CCM Nchi Nzima Masikio Ni Pemba Kujua Nini Kinakwenda Kuongelewa, Kesho Utasikia Pole Pole Anaongea Na Wana Habari Kupooza Joto