Zanzibar 2020 Yaliyojiri Tibirizi, Pemba mkutano wa kufunga kampeni ya Maalim Seif. Tundu Lissu ahudhuria

Huwajui wapemba wewe,acha shobo zako hapa!Mwambieni huyo Lipumba akafanye mkutano pemba na CUF yake waone aibu watakayoipata!!!!
 
Mama yake mwinyi ana tuhusu ninii..hakuna cha baba ake wala babu yake uchaguzi uu amna pumba ..
 
Pemba ni Seif Sharif Hamad hakuna mwengine..

Shein wapemba wanasema sio mpemba bali Mmakonde

Huyu Siti Mke wa Mwinyi si anatokea Unguja Bumbwini?

Hamad Rashid ni mpemba mamluki,hivi huyu Hamad unamsikia katika siasa za Zanzibar?..
 
Shein na mbarawa wote wapemba Maalim Seif ndie mwarabu wa kuja Pemba ngome ya CCM ya raisi aliyepita Abeid Amani Karume mama yake Mpemba ndio maana Seif kipindi cha Karume alibwagwa na cha Shein mpemba akabwagwa mara mbili na sasa ajiandae Pemba hana mtelemko wa ushindi kule Unguja ndio kabisa hapati kitu ni ngome kuu ya CCM na CUF tu ndio maana kutwa anakimbilia Pemba kama Lisu ambaye kutwa anakimbilia Singida akirudi mara mbilimbli kampeni
 
Hamad Rashid ni mpemba mamluki,hivi huyu Hamad unamsikia katika siasa za Zanzibar?..
Mpaka saa hii Hamad Rashid ni waziri serikali ya umoja wa kitaifa ya Mohamed Shein
 
Aisee......nimekuelewa Mkuu.
 
Wote uliowataja hawajawahi kushinda Maalim. Mimi najua, wewe unajua na Dunia nzima inajua.

2015, wote tulishuhudia vituko vya Jecha. Tudhukuru Maalim ni muungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…