Zanzibar 2020 Yaliyojiri Tibirizi, Pemba mkutano wa kufunga kampeni ya Maalim Seif. Tundu Lissu ahudhuria

yajayo yanafurahisha
 
Hakuna mzanzibat anaependa muungano olá wanaopata manufaa yao tu.
 
Tanzania bara wanataka muungano lakni visiwani hawautaki hat kuuona usitusemee.
 
Wewe ndiyo huijui pemba.

Hatumtaki kibaraka WA tanganyika. Amba bibiye kibaraka atoka pemba. Cheeee. Hebu tu one she mkutano WA cuf uliofanyika pemba mwaka huu
 
Huna adabu.
 
Leo CCM Nchi Nzima Masikio Ni Pemba Kujua Nini Kinakwenda Kuongelewa, Kesho Utasikia Pole Pole Anaongea Na Wana Habari Kupooza Joto
Sijui Mwinyi yupo kwenye hali gani anapoona haya mambo na uungwaji mkono mkubwa kama huu kwa Maalim Seif Hamad Sharif
 
Ccm haijwahi kushinda uchaguzi Zanzibar tangu mwaka 1995.
 
Sasa naelewa kwa nini inasemekana kuwa Jakaya alisema "Afadhali Slaa awe Raisi kuliko Tundu Lissu kuingia Bungeni". Mhadhara alioutoa leo ulikuwa wa kufa mtu na ulipangiliwa kisomi.
 
CCM antena zote ni Pemba !! Kweli Lissu wewe ni game changer.....
Nimeonja onja kachumvi, nitakuambia kwa kuvutia wanapotoa mada yupo Mwalimu na Lissu. Yaani bundle inaliwa na unaomba jamaa aendelee. Mkoloni mweusi na vibaraka wao leo wamekaangwa ile mbaya. Thank you/Akhsante TAL may... GOD bless you.
 
Hotuba ya Tundu Lissu Leo huko Pemba ni Hotuba ya Kihistoria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…