Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Hapo ndo matokeo unayaangalia Kwa wapi?Ndugu una bundle nenda website ya uchaguzi kenya link below
Independent Electoral and Boundaries Commission
IEBC - Independent Electoral and Boundaries Commissionwww.iebc.or.ke
Achana na porojo za humu ndani
Alafu timu zenyewe ni Ngumi mkononi FC vs Mbwa Pori FC.Kutangaza haya matokeo Kenya ni kama kumaliza mechi ya mpira uswahilini wakati timu moja imefungwa.
Kwenye uchaguzi popote pale lazima apatikane syuka mmoja kuchangamsha damu wapiga kura. Sisi tulikuwa na ubwabwa wao wanabangi ile kitu ya ArushaHuyo George namfananisha na mzee wetu wa ubwabwa
Mshindi atatangazwa yule aliyefikisha 51% ya kura halali na pia lazima awe amejinyakulia viti vya majimbo visivyopungua 6 katika 24 vilivyopo. Kinyume na hapo refa anaita mpira kati mbungi inarudiwa .ππππWakuu, Tunakwenda round ya pili kwa takwimu hizi ?
Ruto 49.91% Raila 49.41%
Haka ka kipengelea ka 50% +1 kanamaanisha nini?
The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties
Sema naona competition hapo babu versus hustlerWakuu, Tunakwenda round ya pili kwa takwimu hizi ?
Ruto 49.91% Raila 49.41%
Haka ka kipengelea ka 50% +1 kanamaanisha nini?
The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties
Kwahiyo mashoga mngetishika......sisi wengine mbona hatu tishiki hata angetembea uchi"Wakalifanyie kazi", ni tafsida ya kuepusha maneno ya kutisha na ukali. Kimbembe ni je waambiwa hayo wanakumbuka mafunzo ya ya matumizi ya tafsida?
hapana 50% ya kura zote halali zilizopigwa + one extra itatoa mshindi!Mshindi atatangazwa yule aliyefikisha 51% ya kura halali na pia lazima awe amejinyakulia viti vya majimbo visivyopungua 6 katika 24 vilivyopo. Kinyume na hapo refa anaita mpira kati mbungi inarudiwa .ππππ
Hivi matokeo ya Urais Tanzania yalichukua muda gani kutangazwa baada ya kupiga kura?
Tupo pamoja[emoji23][emoji23][emoji23]Mi bado nina imani Wajackoyah wsngu atachukua nchi.
HahahahaWajackoyah the 5th President.
Uwanja upo Manzese uwanja wa fisi, timu ni Mbwa kala Mbwa FC vs Ngumi jiwe FC.Alafu timu zenyewe ni Ngumi mkononi FC vs Mbwa Pori FC.
ndo kishanasia hapo mzee, mchezo ushakwisha.... nafikiri 2nd round inawahusu.Sema naona competition hapo babu versus hustler
Ni 50% jumlisha kura 1Mshindi atatangazwa yule aliyefikisha 51% ya kura halali na pia lazima awe amejinyakulia viti vya majimbo visivyopungua 6 katika 24 vilivyopo. Kinyume na hapo refa anaita mpira kati mbungi inarudiwa .ππππ
Wa kuona aibu ni wewe kwa jambo ambalo mtoto wa class 3 hahitaji kurudia mara mbili kulielewa.Mkuu huoni aibu?
Au mimi ndio sijakuelewa ?
Huyu candidate ana vituko kama Hashim Rungwe a. k. a mzee wa ubwabwa.Hahahaha
Ni 50% plus one vote!Raisi kushinda anatakiwa kuwa na kura asilimia 51
Hustler..Wala hakuna. Ruto ni mpiganaji aliamua kuwa jeshi la mtu mmoja.