siasa za Africa pasua kichwa.Siasa za Kenya hazina adui wala rafiki wa milele
2002-Kibaki & Raila vs Uhuru & Ruto
2007-Kibaki & Uhuru vs Raila & Ruto
2013-Uhuru & Ruto vs Raila
2022-Uhuru & Raila vs Ruto
You better stop writting in englishIt was just a typo
Stop hanging on the small mistake my sentence is still right
Hahahahaaa.... wajaluo walishaanza kumwaga machozi kabisa huko....wanalia tuza ndaaani kabisa Hustler[emoji818][emoji312][emoji313]
We jamaa kama huzijui siasa za Kenya ni bora usome kabla ya kuandika,unajua Mwai Kibaki alivyopata Urais wa Kenya?? unaposema Moi alimwachia sijui unamanisha nini?WaLianza vizur wanakoelekea ni kubaya. Inaonekana uhuru hatak kumwachia nchi ruto na power inatumika kubwa kuzuia Hilo. Kwan kaz ya tume ni kutangaza matokeo hayo mengine waachie mahakama. Uhuru anataka kumuiga kibaki 2007, wakati moi 2002 kiroho safi alimwachia nchi kibaki japo Kuwa alikuwa Adui yake. Wakenya mnakaz na uhuru wenu Kwa kwwli. State machinery zipo kazin kuzuia ruto kushinda.
Demokrasia tuwaachie wazungu tuu kwa kweli huku kwetu Afrika ni fujoo, uhasama, kutekana, kuuwana,kutukanana, vurugu, visasi, ukabila, udini, ukanda.Duuh yashakuwa haya tena?View attachment 2322766
Ni kweli Kenya ipo mikononi mwake KWa sasaHuyu jamaa atakuwa na kazi ngumu sio mchezo..
Nakumbuka ile 2017 tena alikuwa busy masaa 24
RAO kachukua viti vingi kupitia Azimio ambapo kuna vingi vimeungana.Hivi ni nani ana Wabunge na Magavana wengi?
Huy sijua kama analala usingizi.Huyu jamaa atakuwa na kazi ngumu sio mchezo..
Nakumbuka ile 2017 tena alikuwa busy masaa 24
Duh,unasema kweli?Ruto nasikia tayari huko ashakuwa president ya Kenya
UPDATESUPDATES
MATOKEO KENYA: ALIYEJIITA WAKALA WA ODINGA AKUTWA NA FOMU ZA MATOKEO
Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kama Wakala wa Mgombea Urais, Raila Odinga, amesababisha mzozo kwenye kituo cha kuhesabu Kura cha Runyenjes huko Embu baada kukutwa na fomu 34B na 37B kwenye gari yake.
Tukio hilo limetokea baada ya mawakala wa wagombea Ugavana kuzua tafrani walipobaini fomu hizo hazipo kituoni.
Baada ya kuhojiwa mwanaume huyo alisema yeye ni Wakala wa Odinga na aliletwa na Mwenyekiti wa Azimio la Umoja kutoka Kaunti ya Embu.
Hata hivyo Wakala wa Raila Odinga ambaye amekuwepo kituoni hapo siku zote alikana kumfahamu mtu huyo.
Tayari mkuuuDuh,unasema kweli?
Dah Raila jamani mweee😭😭Tayari mkuuu
why are you wasting your time to defend?! after all English is not your language/native.While I was typing I had something else in mind
I do speak and write English well
And I know the tenses too well
It was an honest mistake
Sorry for that. .