Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Wakuu hili limekaaje?🤔
IEBC AMENDS 10,000 votes in Kiambu Town Constituency that was erroneously given to presidential candidate William Ruto; the error was flagged by a journalist.
 
Tulia ww fala. Tulikwambia ngoma ya watoto haikeshi
 
why are you wasting your time to defend?! after all English is not your language/native.
speak kiswahili or kikuyu.
we all speak and write broken english b'cs we'r not native
well spoken! as a matter of fact, there is absolutely no any one who can rightly claim to speak or write perfectly correct English!! We better be proud of our native languages and Swahili language.
 
Kinachoendelea Kenya ni kujumlisha kura upya, Kitu ambacho ni ajabu Kwa kwwli. Naona Unec Wetu Huku tz, unaenda kuwakumba ndugu zëtu Kenya. Kila la heri Kwa kwwli.
 
well spoken! as a matter of fact, there is absolutely no any one who can rightly claim to speak or write perfectly correct English!! We better be proud of our native languages and Swahili language.
Ofcourse this is what Kenyans fail! they tend to keep English language as their Native language while they speak and write broken Engl! on top of that English is spoken more in Nairob and Mombasa to some areas!
Orher parties of the Country people do speak natives ie Masai, Kikuyu, etc

Kenya ni kama mnara wa babeli, pale ambapo Mungu aliamua wale wajenzi wasielewani kwa kuwafanya kuongea lugha tofauti tofauti na kushindwa kuelewana.
 
Nani aliiamini ilani ya mapolisi na tume ya uchguzi + wakurugenzi+mwendazake+ndugai+mahera??
 
Kwa hiyo mzee kitendawili hatimaye? Kama ndivyo bingwa wa ku mobilize vikundi vya vurugu halafa anakimbilia ICC Kufungua kesi atayakubali?
 
Raila Odinga kuweka mgombea mwenza mwanamke inaweza kumponza wakenya si wanatuona Huku na huyu mama yao CCM tunavyojikanyaga kwa mama msaliti wa sera za jiwe
Kwamba wasimpigie kura kisa mwanamke?? Karua alichaguliwa sababu ni mpinga ufisadi wa miaka mingi na Hilo liko wazi kingine ni kutoka kabila kubwa la Wakikuyu. Hayo ya uanamke Wala haikua priority ya kuteuliwa kwake.

Hapa Tanzania failures ni sababu ya mwanamke?? Hivi ufisadi wote kwenye ripoti ya CAG kuna mwanamke aliwahi kutajwa?? Hao wanaume waliotawala kwa miaka 60 wamebadili nini??

Msipende kuingiza mambo ya Jinsia kwenye mambo yasiyohusika. Mnahamisha lawama kutoka Kwa CCM kupeleka kwa Jinsia?? Kesho tena mtasema Marais waislam keshokutwa mtasema Marais wa Pwani .... Learn to take responsibilities of your failures
 
Siasa za Kenya hazina adui wala rafiki wa milele

2002-Kibaki & Raila vs Uhuru & Ruto

2007-Kibaki & Uhuru vs Raila & Ruto

2013-Uhuru & Ruto vs Raila

2022-Uhuru & Raila vs Ruto
Mi nafkiri hazina ideology. Ni mara chache sana hutokea kwa mpinzani wa ideology yavchama fulani kuhamia chama chenye ideology nyingine. Ila wakenya huwaza madaraka na kutimiza ndoto za kihistoria pasi na kujali msingi wa ideology inayoongoza chama fulani. Ama wote wapo ktk ideology moja?
 
mimi kama mkenya wacha nikusaidie kidogo
iebc inazimba all the loopholes za anybody kwenda kotini.to be sure they are comparing all the uploaded softcopies with the hardcopies kama kuna dosari.also the supreme was very clear in last election ruling that only hard copy not soft copy can call an election so lazima wangoje zote zifike They know the winner but only following rule of law.
 
Matokeo ya lini? Uchaguzi mpya? Watanzania nikisema akili hatuna ni kwa sababu ya watu kama wewe, eti Breaking News, Watanzania tuna ujinga wa kutisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…