At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Huu ndio upumbavu. Kila kitu kina utaratibu wake. Ukishakuwa mwanasiasa na ukasajili chama tunategemea utaongoza umma kwenye maono yako. Sasa unataka nchi nzima wote tuwe wanasiasa ? We jinga nini. Ebu niambie ni mgombea yupi wa upinzani kwa Tanzania ambaye unategemea aje amshinde mgombea wa CCM 2025 ? Wote waliopo ni wasaka tonge tu. Narudia tena kusema kwamba CCM itaendelea kuongoza Tanzania mpaka tupate chama mbadala wa CCM.Huu ni upumbavu, why utegemee watu wakupiganie?,ni uzuzu na uoga wako ndio unakutia woga na kama kawaida ya watanzania unassuming tatizo kwa watu wengine, wewe unakimbilia humu kwenye comfort zone, Kenyans wamemwaga damu kufikia stage hii ya democracy in the making, matokeo yanatoka hata mimi niliyepo huku lingusenguse ninayaona straight, kwetu one person anabadilisha matokeo ya nchi nzima na kunguru wote wanainamisha vichwa chini na kulalama kwenye key boards. Pigana no one will fight your battles
Kwa upumbavu wako sishangai kwa mchango wako,I don't take a shit kwa ccm kutawala milele, haliniumizi mimi au family yangu at all maana nilishatambua I must fight for my own battles kuliko kutegemea wengine wanipiganieHuu ndio upumvavu. Kila kitu kina utaratibu wake. Ukishakuwa mwanasiasa na ukasajili chama tunategemea utaongoza umma kwenye maono yako. Sasa unataka nchi nzima wote tuwe wanasiasa ? We jinga nini. Ebu niambie ni mgombea yupi wa upinzani kwa Tanzania ambaye unategemea aje amshinde mgombea wa CCM 2025 ? Wote waliopo ni wasaka tonge tu. Narudia tena kusema kwamba CCM itaendelea kuongoza Tanzania mpaka tupate chama mbadala wa CCM.
We jinga tu hujui kitu.Kwa upumbavu wako sishangai kwa mchango wako,I don't take a shit kwa ccm kutawala milele, haliniumizi mimi au family yangu at all maana nilishatambua I must fight for my own battles kuliko kutegemea wengine wanipiganie
Hata kupitia ujinga ipo jamboUnaamini ujinga sana.
Kenya hakuna CCM,...Njano ya Rutto, labda kama unasema hiyo .....CCM ya Kenya inaongoza na kijani yake
Wewe unayejua umefikia wapi?,unaongelea ya Kenyans who sacrifice a lot to achieve tunayayaona sasa, matokeo ya general election yanaonekana live dunia nzima!,Tanzania ziiiii matokeo yake mpaka yapikwe kwanza, Mr.kikwete anaona aibu kubwa kwanza ameenda kufanya nini kule?,hakuna hata kura moja itakayoibiwa, maana Ile tume ina wafanyakazi wake kwa level zote sio sisi vihiyo tume ipo taifani tu,na level nyingine uchaguzi utasimamiwa na political carders wa chama dola!We jinga tu hujui kitu.
Ukimaliza uchaguzi wa Kenya ututabirie na wa Nchi zingine zote za EA ukianza na hapa kwetu,inaonekana wewe ni nguli wa siasa za ukanda huu.Nilishatabiri Ruto ndie Rais ajaye wa Kenya. Na makamu wake Brilliant Ragath Gachagua. Mungu hawezi kumruhusu Raila awe Rais. Tunataka future iliyotengamaa Africa Mashariki na maziwa makuu kwa ujumla. Na huu mustakabal ni Ruutoo tu.
Wewe unayejua umefikia wapi?,unaongelea ya Kenyans who sacrifice a lot to achieve tunayayaona sasa, matokeo ya general election yanaonekana live dunia nzima!,Tanzania ziiiii matokeo yake mpaka yapikwe kwanza, Mr.kikwete anaona aibu kubwa kwanza ameenda kufanya nini kule?,hakuna hata kura moja itakayoibiwa, maana Ile tume ina wafanyakazi wake kwa level zote sio sisi vihiyo tume ipo taifani tu,na level nyingine uchaguzi utasimamiwa na political carders wa chama dola!