Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mpaka sasa iko hivi

#UCHAGUZIKENYA: Zoezi la kuhesabu kura linaendelea ambapo hadi kufikia Saa 08:46 Asubuhi, Mgombea wa UDA, Naibu Rais William Ruto amejikusanyia kura 1,303,697 sawa na 49.59% huku Mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga akiwa na kura 1,291,709 sawa na 49.13%.

#ITVUchaguziKenyaUpdates
 
Huu ni upumbavu, why utegemee watu wakupiganie?,ni uzuzu na uoga wako ndio unakutia woga na kama kawaida ya watanzania unassuming tatizo kwa watu wengine, wewe unakimbilia humu kwenye comfort zone, Kenyans wamemwaga damu kufikia stage hii ya democracy in the making, matokeo yanatoka hata mimi niliyepo huku lingusenguse ninayaona straight, kwetu one person anabadilisha matokeo ya nchi nzima na kunguru wote wanainamisha vichwa chini na kulalama kwenye key boards. Pigana no one will fight your battles
Huu ndio upumbavu. Kila kitu kina utaratibu wake. Ukishakuwa mwanasiasa na ukasajili chama tunategemea utaongoza umma kwenye maono yako. Sasa unataka nchi nzima wote tuwe wanasiasa ? We jinga nini. Ebu niambie ni mgombea yupi wa upinzani kwa Tanzania ambaye unategemea aje amshinde mgombea wa CCM 2025 ? Wote waliopo ni wasaka tonge tu. Narudia tena kusema kwamba CCM itaendelea kuongoza Tanzania mpaka tupate chama mbadala wa CCM.
 
Huu ndio upumvavu. Kila kitu kina utaratibu wake. Ukishakuwa mwanasiasa na ukasajili chama tunategemea utaongoza umma kwenye maono yako. Sasa unataka nchi nzima wote tuwe wanasiasa ? We jinga nini. Ebu niambie ni mgombea yupi wa upinzani kwa Tanzania ambaye unategemea aje amshinde mgombea wa CCM 2025 ? Wote waliopo ni wasaka tonge tu. Narudia tena kusema kwamba CCM itaendelea kuongoza Tanzania mpaka tupate chama mbadala wa CCM.
Kwa upumbavu wako sishangai kwa mchango wako,I don't take a shit kwa ccm kutawala milele, haliniumizi mimi au family yangu at all maana nilishatambua I must fight for my own battles kuliko kutegemea wengine wanipiganie
 
Angalau kuna uchaguzi wa huru na haki. Ukifuatilia Tv zote za Kenya hilo la kutendeka kwa haki katika uchaguzio linajitokeza maana almost kila kituo kuna media huru inatangaza live!
 
Kwa upumbavu wako sishangai kwa mchango wako,I don't take a shit kwa ccm kutawala milele, haliniumizi mimi au family yangu at all maana nilishatambua I must fight for my own battles kuliko kutegemea wengine wanipiganie
We jinga tu hujui kitu.
 
Kuna kila dalili kuwa uchaguzi kenya haki imetendeka na inaendelea kutendeka. Kuna media huru almost kila kituo na zinatangaza LIVE, nafuatilia TV stations zote unaona kuna uhuru wa vyombo vya habari kutangaza kinachojiri.

Mzee baba huko Kenya naona kama anaenda halijojo)
 
20220810_094158.jpg
Mpaka sasa
Ruto 680,538
Raila 533606

Bado mchuano ni mkali sana, kura nyingi bado hazijahesabiwa. Hivyo yeyote anaweza shinda kiti cha Uraisi.
 
We jinga tu hujui kitu.
Wewe unayejua umefikia wapi?,unaongelea ya Kenyans who sacrifice a lot to achieve tunayayaona sasa, matokeo ya general election yanaonekana live dunia nzima!,Tanzania ziiiii matokeo yake mpaka yapikwe kwanza, Mr.kikwete anaona aibu kubwa kwanza ameenda kufanya nini kule?,hakuna hata kura moja itakayoibiwa, maana Ile tume ina wafanyakazi wake kwa level zote sio sisi vihiyo tume ipo taifani tu,na level nyingine uchaguzi utasimamiwa na political carders wa chama dola!
 
Eneo la Nyanza ambalo ni ngome ya Odinga bado kura hazijajumulishwa.

Eneo hili lina takribani wapiga kura milioni 3 kwa kaunti za Kisii, Kisumu, Nyamira, Homabay nakadhalika.

Hapo kura zikijumulishwa lazima Ruto aingie mitini maana hapo ndo ilipo presha ya bwana Ruto.
 
Ila Mm Nimekuwa Shocked Sana na Matokeo ya Kirinyaga County.
.
Ruto amepata Vote 20000+
Rao amepata Vote 3000+
.
Na Kirinyaga Ndio Nyumbani Kwao na Karua [emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilishatabiri Ruto ndie Rais ajaye wa Kenya. Na makamu wake Brilliant Ragath Gachagua. Mungu hawezi kumruhusu Raila awe Rais. Tunataka future iliyotengamaa Africa Mashariki na maziwa makuu kwa ujumla. Na huu mustakabal ni Ruutoo tu.
Ukimaliza uchaguzi wa Kenya ututabirie na wa Nchi zingine zote za EA ukianza na hapa kwetu,inaonekana wewe ni nguli wa siasa za ukanda huu.
 
Wewe unayejua umefikia wapi?,unaongelea ya Kenyans who sacrifice a lot to achieve tunayayaona sasa, matokeo ya general election yanaonekana live dunia nzima!,Tanzania ziiiii matokeo yake mpaka yapikwe kwanza, Mr.kikwete anaona aibu kubwa kwanza ameenda kufanya nini kule?,hakuna hata kura moja itakayoibiwa, maana Ile tume ina wafanyakazi wake kwa level zote sio sisi vihiyo tume ipo taifani tu,na level nyingine uchaguzi utasimamiwa na political carders wa chama dola!

Tume yetu hovyo, inaongozwa na failures/rejects
 
Back
Top Bottom