Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Uchaguzi wa 2010 au 2015 zilikuwa na kasoro, lakini unazifananisha na ule wa 2020?
Labda kama unajivua tu akili kumtetea Magufuli ama hujui ilivyokuwa
Akili huna! Jin la Jecha ulilijua mwaka gani? Kuna jina maarufu lililotokana na harakati za uchaguzi zaidi ya jina la Jecha?
 
MATOKEO MBASHARA

Mara ya mwisho kusasishwa: 08/14/2022, 21:09:21 EAT

Matokeo yanayongojewa kutoka IEBC

WagombeaKura

50.9%

William RutoMuungano wa Kenya KwanzaKura:6,902,417Takribani 25% ya kura za Kaunti36/47

48.5%

Raila OdingaMuungano wa Azimio la UmojaKura:6,578,011Takribani 25% ya kura za Kaunti37/47

0.4%

George WahackoyahChama cha RootsKura:59,407Takribani 25% ya kura za Kaunti0/47

0.2%

David MwaureChama cha AganoKura:31,328Takribani 25% ya kura za Kaunti0/47

Tazama kidogo
 
Hata spunda alilalamika kuibiwa kura zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya zamani. Ila Majibu ni Ruto kashinda au ngoma itakuwa hakuna aliyefikisha 50% na uchaguzi kurudiwa.
Kuna jambo ambalo nashindwa kukubali kabisa kwamba Ruto ndio mshindi.....

Watabiri waliona Raila atafia madarakani , matha atafata...then ndio aje Ruto.

Sasa inakuwaje Raila ashindwe? Au ndio yale ya Mkapa kuachiwa nafasi na kikwete?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Hii ya zamani. Ila Majibu ni Ruto kashinda au ngoma itakuwa hakuna aliyefikisha 50% na uchaguzi kurudiwa.
Kuna kila dalili ya kushinda kwa Ruto.... Hizi ni Official IEBC Results as of now..

 
Wewe na mimi tuna mtizamo sawa kabisa.Kuna watu hapa hasa Maghayo hawatoamini kile kinakwenda kutokea leo.
 
Akili huna! Jin la Jecha ulilijua mwaka gani? Kuna jina maarufu lililotokana na harakati za uchaguzi zaidi ya jina la Jecha?
Uchaguzi wa 2015 nimesema ulikuwa na dosari, hata hivyo ulikuwa na uwazi mkubwa na haki ukilinganisha na wa 2020 ambapo Magufuli kwa kujua unyama na aibu aliyofanya alizima mitandao yote
Tusijivue akili kwa mahaba, Magufuli aliharibu uchaguzi kuliko rais yoyote Tanzania
 
Ok
 
Ohh dear lord forbid. Ruto aliliaga kabisa kwenye maombi. Mungu hawezi kumuachia. Bro kubali baba yenu keshaangukia pua.
Sasa leo utamsaidia kulia zaidi.Tulia kwa TV uone number zinavyokwenda kubadirika kwa kasi.Walianza na stronghold za Ruto na ndizo zimewafanya muwe na matumaini,sasa hivi zinakuja za RAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…