Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Tz hakuna kitu kinaitwa uchaguz
Kuna uteuzi tu
Wenzetu mambo ya vyama walishatupa kule

Ova
 
Siyo ubinafs mkuu. CCM inatumia Dola wasiungane. Hata kuanzisha tu chama kipya CCM hawakubali.
 
Napenda sana ujasiri mlionao wa kushauri kwa majirani maswala ya uchaguzi.Huu ujasiri mgeutumia na hapa kwetu kina Mahela wasingekuwa wanatuchezesha sindimba na wote tunakaa kimya tunabaki kulalama hapa JF
Tunakuja 2025, ndugu Kama uchaguzi utafanyika , LAZIMA twende sawa ,atakae shinda kihalali tutamuunga mkono bila kujali ni wa chama GANI, binafsi Sina shida na chama chochote Kama kinashinda KWA haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…