The Hustler,mfuga kukuHuyu jamaa Mastermind haswa, mtoto wa mjini...kamzidi uhuni mpk bosi wake! Ha ha haaaa
So sad reallyRAO
The next Presidaaa
Tupe udambwi sasa unaona nan anaeza toboa apo??Uhuru amesalitiwa sana kwa sisi tuliopo Kenya tunajua so msiwe na expectations kubwa sana. Hata alipokuwa na influence Mama Ngina inasemekana Ruto amempiga Raila
Umekaa upande upi tufaamiane. Mimi nipo upande wa kushoto toka pale mtangazaji Chebukati atakapotangazia napunga mkono kila baada ya DK 3kama utanionaNipo Bomas hapa na wamewasili wapinzani wawili tu bali Ruto na Odinga bado. Nitawapa updates
So far ni kama iko 50 50. Tusubiri tu tume huru itangazeTupe udambwi sasa unaona nan anaeza toboa apo??
RAO na Ruto,wana ma-puppet humo ndani wanakojumlishia kura,ikitokea infomer wa RAO akamjulisha kua kashindwa,sirhani kama atafika hapo,ila akiambiwa kashindwa,atakuja hapo,upande wa Ruto,bilashaka atahudhuria iwe kashindwa au kashinda.View attachment 2324368
Wagombea wa urais George Wajackoyah wa chama cha Roots na David Mwaure wa chama cha Agano Party wamewasili katika ukumbi wa Bomas, inakofanyika shughuli ya kujumlisha kura, huku rais mteule akitarajiwa kutangazwa rasmi.
Mimi ni special envoy niko naangalia tu ila ulinzi ni mkaliUmekaa upande upi tufaamiane. Mimi nipo upande wa kushoto toka pale mtangazaji Chebukati atakapotangazia napunga mkono kila baada ya DK 3kama utaniona
Never. Wakenya si wajinga. Moi mwenyewe ilibidi akubali Uhuru aliposhindwa na Kibaki.Kama unajua kusoma patterns za kisiasa za afrika mashariki utakuja kuniambia.
RAO ndio rais wa Kenya ajaye muda mchache ujao
Wengi hawajuiKama unajua kusoma patterns za kisiasa za afrika mashariki utakuja kuniambia.
RAO ndio rais wa Kenya ajaye muda mchache ujao
Kwenye uchaguzi wa kwanza au wa pili.Never. Wakenya si wajinga. Moi mwenyewe ilibidi akubali Uhuru aliposhindwa na Kibaki.
Wa kwanza kipindi Moi anaachia madaraka .Uhuru aligombea kupitia KANU na akashindwa vibaya sana. Mwai Kibaki akashinda na ndo mwanzo wa KANU kufa.Kwenye uchaguzi wa kwanza au wa pili.