Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
UPDATE:
4bdd7f94-9d1b-4988-a169-4279858028c4.jpg

Wagombea wa urais George Wajackoyah wa chama cha Roots na David Mwaure wa chama cha Agano Party wamewasili katika ukumbi wa Bomas, inakofanyika shughuli ya kujumlisha kura, huku rais mteule akitarajiwa kutangazwa rasmi.

IMG_20220815_131620.jpg

Ukumbi wa Bomas umeanza kujaa watu mbalimbali huku vikundi vya kwaya za dini ambazo zimekuwa zikitumbuiza huku wakisubiri matokeo ya uchaguzi mkuu.
 
View attachment 2324368
Wagombea wa urais George Wajackoyah wa chama cha Roots na David Mwaure wa chama cha Agano Party wamewasili katika ukumbi wa Bomas, inakofanyika shughuli ya kujumlisha kura, huku rais mteule akitarajiwa kutangazwa rasmi.
RAO na Ruto,wana ma-puppet humo ndani wanakojumlishia kura,ikitokea infomer wa RAO akamjulisha kua kashindwa,sirhani kama atafika hapo,ila akiambiwa kashindwa,atakuja hapo,upande wa Ruto,bilashaka atahudhuria iwe kashindwa au kashinda.
 
Watu wanadhani Kenyatta ni fala kuungana na Raila,Rails Odinga ndio chanzo kikuu cha upinzani Nchini Kenya-ukiona siasa ya Kenya imekaa kiasi hicho jua ni matunda 99% ya Odinga na Baba yake Oginga bila yeye Moi angefia madarakani.
Wanasiasa wote wakubwa wana emerge kutoka kwake,ukisikia migogoro ya kisiasa na machafuko Kenya sababu kubwa ni yeye.Ilikuwa Rais kwa Kenyatta kuungana tena na Raila kuzuia hayo machafuko.
Hebu fikiria Leo hii Kenyatta angeungana tena na Ruto against Raila-aiseee Kenya isingetawalika.

So,Uhuru alicheza kete nzuri sana kuepusha machafuko yoyote atakayeshindwa atakuwa hana nguvu ya kuanzidha vugu vugu.imagine ameshindwa Uhuru utafanya vurugu against nani huku umepata back up ya Serikali vilevile akishindwa Ruto atamganyia nani vurugu huku naye ni sehemu ya Seriakali.
 
Ruto hapewi nchi ....ifike sehemu tuamin hizi nchi za kiafrica Rais hachaguliwi na wananchi..na isitoshe hata kuongoza ni matakwa yao...ukienda tofauti nao basi haufiki popote...hata huko nyuma Raila hajawah shindwa ni vile tu mda wake haukufika...sasa mda wake ndio huu
 
Back
Top Bottom