Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Sio Nchi za Kiafrika tu ni Duniani kote.Ruto hapewi nchi ....ifike sehemu tuamin hizi nchi za kiafrica Rais hachaguliwi na wananchi..na isitoshe hata kuongoza ni matakwa yao...ukienda tofauti nao basi haufiki popote...hata huko nyuma Raila hajawah shindwa ni vile tu mda wake haukufika...sasa mda wake ndio huu
😂😂😂 kabisaa TrumpSio Nchi za Kiafrika tu ni Duniani kote.
Ngoja tuone siasa za Africa zinabadilika au ni zile zileRuto hapewi nchi ....ifike sehemu tuamin hizi nchi za kiafrica Rais hachaguliwi na wananchi..na isitoshe hata kuongoza ni matakwa yao...ukienda tofauti nao basi haufiki popote...hata huko nyuma Raila hajawah shindwa ni vile tu mda wake haukufika...sasa mda wake ndio huu
Ukumbuke chama cha Odinga kiliungana na chama cha KANU na kuunda chama cha New KANU ambacho Odinga akachaguliwa kuwa Katibu wa Chama hicho.Baada ya Moi kumchagua Uhuru kuwa mgombea ndipo Odinga akajionfoa kwenye New KANU na kuungana na Mwai kibaki.Wa kwanza kipindi Moi anaachia madaraka .Uhuru aligombea kupitia KANU na akashindwa vibaya sana. Mwai Kibaki akashinda na ndo mwanzo wa KANU kufa.
Jana Odinga aliongozana na Gideon Moi kule kanisani,Familia ambazo zilikuwa mahasimu hadi siku 1 kabla ya matokeo kutangazwa walikuwa wote halafu Leo uniambie kwamba Odinga hatakuwa Rais siwezi amini.Ingawaje Gedion Moi ameshindwa kutetea kiti chake cha ugovana kule kwake.😂😂😂 kabisaa Trump
Gideon na chama chake ni sehemu ya AZIMIO, so washaungana na Raila hata kabla ya kampeni kupambana na RutoJana Odinga aliongozana na Gideon Moi kule kanisani,Familia ambazo zilikuwa mahasimu hadi siku 1 kabla ya matokeo kutangazwa walikuwa wote halafu Leo uniambie kwamba Odinga hatakuwa Rais siwezi amini.Ingawaje Gedion Moi ameshindwa kutetea kiti chake cha ugovana kule kwake.
Pia watu hawajui jambo lingine ya kwamba waasisi wa chama cha ODM cha Raila ni Ruto Uhuru Kenyatta na Raila mwenyewe.Ukumbuke chama cha Odinga kiliungana na chama cha KANU na kuunda chama cha New KANU ambacho Odinga akachaguliwa kuwa Katibu wa Chama hicho.Baada ya Moi kumchagua Uhuru kuwa mgombea ndipo Odinga akajionfoa kwenye New KANU na kuungana na Mwai kibaki.
Chama cha KANU hakikufa mwaka ule ule kiliendelea kuongozwa na Uhuru Kenyatta,na baada ya Odinga kuungana na Mwai Kibaki ndio wakaweka makubaliano ya kugawana nafasi kama watashinda.
Wanakula kabisa, vile hii inshu sio ya kitoto, mtu aweza potea etiWatangaze basi
Ova
Mpaka saa tisa naonaWanakula kabisa, vile hii inshu sio ya kitoto, mtu aweza potea eti
Ndio ngoja nipotee kidgo, ikifika time ⌚ unijulishe nijeMpaka saa tisa naona
Ova
Matatizo ya kutumia kichwa kwa ajili ya kufugia nywele ndio haya SasaKumbe Marekani alitangaza rais wakeView attachment 2324406