Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Nitoe pole kwa timu RAO. Kwa kipekee nina pole yake #cocastic# ameonyesha huruma ya ndani sana.
Ukweli nimemtengea kitu
Ni mkweli moyoni.
Dunia hii kunawatu wameteseka sana wiki hii . vuta picha wiki hii imepitaje kwa mtu ambaye ni shabiki wa simba πŸ˜‚πŸ˜‚, wakati huohuo ni shabiki wa man u πŸ˜‚πŸ˜‚ tena alikuwa anamuunga mkono Raila Odinga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Pole sana cocastic,
 
Na ndipo maana Lowasa akachukuliwa na Chadema walimwita fisadi kwa miaka zaidi ya mitano.

Hapo ndipo utajua hatufanani na Kenya upinzani huku kwetu hawajui wanataka nini, walichokuwa wanakifanya 2015 ni sawa ya kuamisha hela kutoka mfuko wa kushoto na kuiweka mfuko wa kulia wa suruali ya CCM.
 
State sio Kama nyumbani kwakwe, akijifanya anajua yatamtokea puani ,lazima afuate taratibu ,pamoja na ukwasi Trump ila alikaa,
 
You are right.
 
Just Give up on some issues don't force.....ndicho nilichojifunza kutoka kwa Mzee wangu hapa
 
Just Give up on some issues don't force.....ndicho nilichojifunza kutoka kwa Mzee wangu hapa
 
Bado naamini huu ni mchezo wa Intelijensia ya Kenya.

Kilichowakera Wakenya ni wao kumuona Raila kama project ya Uhuru mkuu. Hata hiyo ya kumpigia kampeni inawezekana ni ushauri wa Intelijensia yao ili kuwakwaza zaidi Wakenya...
Sidhani. Kenyatta hakuwa anachukiwa kiasi hiki. Wakikuyu ndiyo wamesababisha. Angekuwa ni mkikuyu mwenzao wangempigia kwa wingi. BTW ujue kilichofanya matokeo yawe hivyo ni watu hasa vijana kutojitokeza kwa wingi kupiga kura.
 
You are right.
Watu wengi hawajui hii fact: i.e. kutopiga kura kuna impact kama kupiga kura. Huwa nawasikia watu wakati wa uchaguzi wanasema siendi kupiga kura wasijui kutopiga kwao kura kunafanya mgombea wasiyemtaka apite kirahisi. Hapa na assume uchaguzi ni huru kama ilivyokuwa Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…