Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Chebukati anasema hadi sasa ni more than 97% ya kura zimeishajulikana, na leo hawawezi tangaza matokeo wana siku saba za kufanya hivyo, na mshindi ni lazima apate 50%+1 na pia awe ameshinda 25% ya majimbo! na kwa mujibu wa Online Community Kenya, RAO ana kura 2,193,000+ na WISARU and 2,040,000+
 
Chebukati anasema hadi sasa ni more than 97% ya kura zimeishajulikana, na leo hawawezi tangaza matokeo wana siku saba za kufanya hivyo, na mshindi ni lazima apate 50%+1 na pia awe ameshinda 25% ya majimbo! na kwa mujibu wa Online Community Kenya, RAO ana kura 2,193,000+ na WISARU and 2,040,000+
 
Jamaa ana matatizo si bure

Asikuvurugie siku mkuu. Mtu akishindwa kuelewa mambo rahisi kama haya unaachana nae. Anaita wenzake majina ya ajabuajabu nikaona shida ni kubwa kuliko nilivyodhania.

Mwenyekiti wa uchaguzi mwenyewe kaweka bayana hizo form zinakua uploaded na yeyote anaezipata anaweza kujumlisha kutoka vyanzo tofautitofauti. Hilo jambo hapa kwetu halipo na halifanyiki, mbaya zaidi ni kosa kisheria.

Viongozi wajuu wa NEC wapo huko kuangalia na kujifunza jinsi uchaguzi unavyoendeshwa, acha tuone kama watakuja na tija 2025.

Ila huu uchaguzi imeleta chachu sana kwenye chaguzi zetu.
 
Hizi number unatoa wapi? Sote tunaangalia live mbona hawajafikia hii idadi ya kuhesbau kura.Unataka kisema Citizen wako nyuma kiasi hiki?
Ccm wamezoea wanavyowafanyia Watanzania sasa anadhani Kenya kuna upumbavu kama huo wa kupika takwimu.
 
Mbona unakuwa mkali hivyo,sote tumeangalia mtangazaji akitoa sababu ya kwanini matokeo yako tofauti kwa kila Media,hakuna sehemu amesema ni "matokeo ya uwongo" kulikoni kuita wenzio hawana akili?
Imebidi nitulie tu, maana nikijiuliza wapi wamedai matokeo ya uongo.
 
Natamani Hustler ashinde kwani amepambana kwelikweli na mafahali 2 wakubwa. Hata hivyo ametoa upinzani madhubuti
Ila siasa bana..kweli kwenye siasa hakuna adui au rafik wa kudumu..nikikumbuka Rutto na Uhuru wakiteseka kule ICC pambana na kesi kama zote..na kufanikiwa..leo hii uhuru ana msapoti Odinga..nilichogundua ni kutafuta hela tuu..yaan odinga,uhuru urais ni prestige tu...fedha wameanza cheza nazo wakiwa tumboni mwa wazazi waho...cheza ikulu yotee ile...wakat huo rutto anachunga ng'ombe hukoo..umasikin mbaya sna..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…