Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Mkiamka kweli naomba usisahau kuniamsha na mimi!Hiyo transparency ni ya hali ya juu,heko Kenya.
Tanzania tuamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiamka kweli naomba usisahau kuniamsha na mimi!Hiyo transparency ni ya hali ya juu,heko Kenya.
Tanzania tuamke.
Unafaa uelewe wote wanatoa matokeo kutoka iebc portal, hesabu zitatofautiana kulingana na order wanayotumia kujumuisha matokeo hayoThe Citizen wanasema
Odinga 1,970,681
Ruto 1,902,132
NTV wao wanasema
Ruto 2,054,025
Uhuru 1,924,288
Nani mkweli hapo?
Jamaa ana matatizo si bure
Citizen TV is the most reliable media!Anaongoza Ruto, hao citizen ni waongo
Ccm wamezoea wanavyowafanyia Watanzania sasa anadhani Kenya kuna upumbavu kama huo wa kupika takwimu.Hizi number unatoa wapi? Sote tunaangalia live mbona hawajafikia hii idadi ya kuhesbau kura.Unataka kisema Citizen wako nyuma kiasi hiki?
10% ya nn?Wote wapo nyuma. 98% ya kura tayari yapo kwenye portal ya iebc ila hao wote hakuna aliyefikia hata 10%
Imebidi nitulie tu, maana nikijiuliza wapi wamedai matokeo ya uongo.Mbona unakuwa mkali hivyo,sote tumeangalia mtangazaji akitoa sababu ya kwanini matokeo yako tofauti kwa kila Media,hakuna sehemu amesema ni "matokeo ya uwongo" kulikoni kuita wenzio hawana akili?
Kila mmoja humu hana akili kwako?? Ni wewe pekee ndio mwenye nazo au sio mwamba??Una tatizo la akili?
Kumbe kila tv ina matokeo yake.Basi vita inanukia.Tufungue mpaka.
Ila siasa bana..kweli kwenye siasa hakuna adui au rafik wa kudumu..nikikumbuka Rutto na Uhuru wakiteseka kule ICC pambana na kesi kama zote..na kufanikiwa..leo hii uhuru ana msapoti Odinga..nilichogundua ni kutafuta hela tuu..yaan odinga,uhuru urais ni prestige tu...fedha wameanza cheza nazo wakiwa tumboni mwa wazazi waho...cheza ikulu yotee ile...wakat huo rutto anachunga ng'ombe hukoo..umasikin mbaya sna..Natamani Hustler ashinde kwani amepambana kwelikweli na mafahali 2 wakubwa. Hata hivyo ametoa upinzani madhubuti
Huyo haaminiki ulituingizaga chaka kifo cha Magu.Victoire naomba utie neno lako juu ya ushindi wa RAILA ODINGA
Ni 12 milioni za watu waliopiga kura mkuu.IEBC ndo wenye ukweli. Hawa media wapo nyuma sana matokeo yao hata nusu ya kura zote hawafiki.Kura zote ni 14M+