zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Huwa mnachekesha sana mnadai upinzani wahuni sasa kivipi kina Silinde, Shonza, Mollel, Mkumbo, Gekul, na waitara n.k walipokuja huko mliwapa uwaziri? Au wanakua wahuni wakiwa na magwanda ila wanageuka malaika wakivaa kijani??Tanzania hatuwezi kukubali uchaguzi ukawa influenced na wahuni. Kenya hiyo ni failed state, kila mwenye vipesa anajiamulia tu.
Huku ni lazima CCM itengeneze serikali iwe kwa halali au haramu. Nakupa ukweli mchungu, umeze.
Iwe kwa halali au kwa haramu CCM ni lazima tuendelee kuongoza serikali.
[emoji3][emoji3] kwetu hapa ukiachwa tu kwa kura 2000 asubuhi basi hesabu maumivu,maana baada ya masaa kadhaa zinakuwa 2M gapYaani ni Kama uchaguzi wa USA mwaka 2020 ulikuwa full mizengwe ukiangalia tv hii wanasema Trump anaongoza ukibadili unakuta anaongoza Biden basi tafrani....
Huku kwetu akiongoza mmoja ndio huyo huyo mwanzo wa kuhesabu kura hadi mwisho
Huku tz hakunaga kupindua meza[emoji23][emoji23][emoji23]
Atakufa akijaribu akishindwa, may be this time atakuwa mshindi.Naomba sana Odinga ashinde, huyu baba Jaman ametoka mbali mnoo. Yaaan akikosa bas aachane na siasa tyuuh.
ok i have understoodCitizen tv may begin tallying votes from Narok,Ntv begin from migori, KTN begin from Nyeri, will you expect the numbers to be the same, they will be same at the end of the total tally,,,
Wapigane tu. Tutaenda kuwaamlia. Hata hivyo waje kwetu kama wakimbizi tupate mtelezo wa ndoaTuombe wa kenya ndugu zetu wasipigane mapanga kwasabb ata media houses zinegawanyika based on tribal and regional, zinaweza kua vyanzo vya uchochezi
Hahahhah kitu cha arusha kisa matokeo ?? Kula kitu kwa afya sio kwa stressYani myebusi acha tu. Naanza kushikwa na panic attack. Bora ningetulia tu nakufuatilia comments tu za watu. Sasa stress zimenisonga. Ila I get comfort kutoka "kitu Cha Arusha". Najua Ruto ataibuka mshindi na wote tutafurahi.
How sure you are....How are you sure ngome zake zimeisha ? Ingekuwa kweli ingekuwa poa sana
Huku meza ikigeuka never again igeuke na kupinduka till u became a normal citizen.Yaani ni Kama uchaguzi wa USA mwaka 2020 ulikuwa full mizengwe ukiangalia tv hii wanasema Trump anaongoza ukibadili unakuta anaongoza Biden basi tafrani....
Huku kwetu akiongoza mmoja ndio huyo huyo mwanzo wa kuhesabu kura hadi mwisho
Huku tz hakunaga kupindua meza[emoji23][emoji23][emoji23]
Ruto hana mahusiano mazuri, ana dharau sana kama wale wakikuyu wa zamani waliokuwa wanajiona ni black muzungu. Huyu sina taarifa yoyote ya kuvuka mpaka na kutembelea 🇹🇿 Kama baba ambaye tunamwona ni mwenzetuJamani naombeni yeyote mwenye reliable source ya haya matokeo. I wish NTV updates are the correct one. Kwasababu moyo unapenda mbio. Ntafurahi Sana Ruto akiibuka mshindi
Hakuna hayo matokeo, wale IEBC wanajumlisha Form 34 A za hardcopy pekee sio za kwenye portalIEBC portal
Anaweza kujipiga dildo mwenyewe kwa come back hii anayofanya DingaRuto lazima atamshikisha Odinga ukuta
[emoji3][emoji3]Huku meza ikigeuka never again igeuke na kupinduka till u became a normal citizen.
Hawa wako nyuma sanaPitia hapa Elections Portal
Yani myebusi acha tu. Naanza kushikwa na panic attack. Bora ningetulia tu nakufuatilia comments tu za watu. Sasa stress zimenisonga. Ila I get comfort kutoka "kitu Cha Arusha". Najua Ruto ataibuka mshindi na wote tutafurahi.
Anaweza kujipiga dildo mwenyewe kwa come back hii anayofanya Dinga