zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Huwa mnachekesha sana mnadai upinzani wahuni sasa kivipi kina Silinde, Shonza, Mollel, Mkumbo, Gekul, na waitara n.k walipokuja huko mliwapa uwaziri? Au wanakua wahuni wakiwa na magwanda ila wanageuka malaika wakivaa kijani??Tanzania hatuwezi kukubali uchaguzi ukawa influenced na wahuni. Kenya hiyo ni failed state, kila mwenye vipesa anajiamulia tu.
Huku ni lazima CCM itengeneze serikali iwe kwa halali au haramu. Nakupa ukweli mchungu, umeze.
Iwe kwa halali au kwa haramu CCM ni lazima tuendelee kuongoza serikali.
Kwahiyo mafisadi yaliyojazana CCM kama Rostam na wenzie hao ndio wasafi?