Huyu mzee hata asiposhinda wamuachie aongoze hata muhula 1 tyuuh. Aridhike na yeye. Kwa upinzani huo wa kura, hata akishindwaa wampe jaman.Provisional presidential results as at 12:00am Thursday
[emoji117]elections.nation.africa
#Decision2022 #KenyaDecides2022
Source:NTV Kenya View attachment 2320514
Na wewe umepiga kura huko Kenya, ama unafanya betting tu?Mkuu mgerasi yatosha asee nasema yatosha. Lala sasa bana
Jah ni wa Wajackoyah maana imani ya Jah inahimiza sana matumizi ya mpepeDuuuuh huyu mzee ashinde jaman, wallah Jah awe nae
Kwahiyo huyu ni Hashimu wa Kenya.Wajackoya mzee wa kuchangamsha genge tu wala hana shida na uraisi kama Hashim Rungwe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni rastafarian naskia wanatumia neno Jah, ila mie napenda kulitumia hilo.Jah ni wa Wajackoyah maana imani ya Jah inahimiza sana matumizi ya mpepe
Wewee hunishindi mimi nitaumia sn akishindwa, na this time ndo itakuwa mwisho wake wa kugombe,apate tu jamani uwiiiHuyu mzee hata asiposhinda wamuachie aongoze hata muhula 1 tyuuh. Aridhike na yeye. Kwa upinzani huo wa kura, hata akishindwaa wampe jaman.
Naumia mie, lol
Kumbe Gavana Joho yuko ktk kundi la Odinga?? Safi sanaaa.Upande wa raila wameanza kuashiria ushindiView attachment 2320518View attachment 2320519
Dennis Itumbi huyu ni chawa wa RutoHuyu jamaa ni mchochezi.😂
Alifanyaje?Husisahau amewahi kuwekwa kizuizini na Moi.
Yaan mchana hadi nimelia, kisa naona Odinga anapitwa, afadhari hata sahiv anaongoza, amani inakuja.Wewee hunishindi mimi nitaumia sn akishindwa, na this time ndo itakuwa mwisho wake wa kugombe,apate tu jamani uwiii
Mimi pia mchana nilikuwa sina amani, nilikuwa naumia mnooo,kweli bora sasa inatia natumaini,Mungu amsaidie.Yaan mchana hadi nimelia, kisa naona Odinga anapitwa, afadhari hata sahiv anaongoza, amani inakuja.
Eeeh Jah Fanikisha Odinga ashinde uchaguzi huu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa kweli Odinga ashinde huu uchaguzi, mweeeehMimi pia mchana nilikuwa sina amani, nilikuwa naumia mnooo,kweli bora sasa inatia natumaini,Mungu amsaidie.
Tuko wengiMimi pia mchana nilikuwa sina amani, nilikuwa naumia mnooo,kweli bora sasa inatia natumaini,Mungu amsaidie.
Kufuatia jaribio la Mapinduzi ya kikosi fha wanahewa kujaribu kumpindua Moi kufeli,ilifuatia kamatakamata ya watu wengi kuwekwa kizuizini na Moi kwa kushukiwa kuwa masterminds wa njama hiyo. Odinga naye aliswekwa ndani na mwingine ni mwandishi maarufu sana anaitwa Koigi wa Eamwere. That was back in 1982. Odinga harakati hajazianza leo. Yeye na marehemu wawili Maalim Seif na Etienne Tshekedi kwangu ndio wapinzani bora kabisa katika ukanda wetu. Huyu Kiiza Besigye naye amejaribu lakini viatu vya haea watatu vinampwaya . Nadhani nimejitahidi kukupa insight.Alifanyaje?
Huyu hasisikilizee ni mtu wa Ruto.Huyu jamaa ni mchochezi.😂