Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Tanzania tuna la kujifunza hapa.

Tume huru ya uchaguzi is key.

Mahakama huru.

Haiwezekani raisi ambaye ni mgombea awe na mamlaka ya kuteua kila mtu kuanzia mwenyekiti wa tume ya uchaguzi hadi wasimamizi kwenye majimbo...that's unfair na ccm wanatumia ujinga wetu kujikita kileleni.
 
Ndio maana kuna mtu alitugeuza mazuzu, speech ya Mr. Kikwete now anaongea vitu tofauti kabisa na hali halisi tuliyonao hapa nchini, kudos kwa Kenya mmeonyesha democracy inawezekana
 
Transparency kwenye huo uchaguzi wa Kenya,ndiyo imefanya uchaguzi ukawa mkali hivyo,la sivyo,ingepitishwa sheria kama huku kwetu kua ni TUME tu ndiyo ina idhini ya kuhesabu,hakika faulo ingefanyika.Heko Kenya,CCM ijiandae kikamilifu,miaka ya mbele,hii hali italazimika kufanyika,na hapo,ushindani utakua mkali sana.
 
Ushindani wa nini.Visa na mikasa ndivyo vinavyotawala.Pesa zinapotea bure.Tuunde utaratabu wetu mbali kabisa na demokrasia ndipo tutafanikiwa.
 
Wazo zuri ila kufikia huko ni efforts ya watanzania wote, tusitegemee watanzania wengine watupiganie wakati sisi tupo kwenye ukunguru
 
.....Mr.kikwete amelaumu why party observers wa wagombea waliwekwa mbali na vituo vya kupigia kura!,unafiki mwingine mpaka unakera, Mr.kikwete wewe uliruhusu hili lifanyike hapa kwenye chaguzi zetu?au ndio unafiki wa PR kwenye world media
kwani mkuu hapo si kenya kwani ni tanzania. anahoji maana sheri ya huko inatakiwa wawepo hivyo ana sababu ya msingi na wewe acha unafiki sio lazima unachokifanya ugenini ukifanye na nyumbani.
 
Kama ilivyooneshwa citizen portal ikaenda hivyo nadhani Ruto anaelekea kuchukua nchi na ikiwa hivyo sijui aibu Uhuru ataiweka wapi. Na je what if ilikuwa ni janja yao na Ruto kum-fool Odinga? Maswali yatakuwa mengi. Tusubiri tuone.
Kwan kipindi MOI anamnadi Uhuru na Mwai Kibaki akachukua nchi MOI aibu aliiweka wapi?
 
kwani mkuu hapo si kenya kwani ni tanzania. anahoji maana sheri ya huko inatakiwa wawepo hivyo ana sababu ya msingi na wewe acha unafiki sio lazima unachokifanya ugenini ukifanye na nyumbani.
Huwezi kujifanya unaheshimu rule of law wakati wewe ndio dictator mkubwa, na why Mr kikwete alikwenda Kenya Sina idea yeyote, hakuna alichokifanya na Kenya wapo Safi sasa kidemokracia, heshima kwao
 
Yaani Kenya imekuwa mfano mzuri kwa Africa nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…