Shangaa na wewe.Aibu ya nini sasa wakati wakenya ndo wameamua. Wabongo sijui wakoje. Uhuru wala hataona aibu.Kwan kipindi MOI anamnadi Uhuru na Mwai Kibaki akachukua nchi MOI aibu aliiweka wapi?
Mno mnoKikwete ni mnafiki saana😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Raila huyu baba ashinde niwe na amani, namuonea huruma mnoo, wampe hata muhula m1 aridhike na yeye.
Hakika,wanasiasa hata wa upinzani,wakiona watu wameamua kabisa kujipigania,watapata nguvu ya kuongoza mapambano,ila am sure,CCM waanze kujitafakari,nadhani huo upepo wa Kenya,utavumia na huku.Time will tell,na hata vyombo vya ulinzi na usalama,vitaamua kuacha wananchi waamue,na vyombo husika vitabaki kusimamia kazi zao kikatiba.Wazo zuri ila kufikia huko ni efforts ya watanzania wote, tusitegemee watanzania wengine watupiganie wakati sisi tupo kwenye ukunguru
ChebukatiHivi huwa ni Chibukati au Chebnukati??
Mbona unajiongelesha kwa huruma!!!?Kwakweli anatia huruma Raila. Kutakua kuna roho ya kukataliwa katika hicho kiti kuanzia kwa baba yake na sasa inamfuta yeye
Yaani uchaguzi ukirudiwa Raila amtafute Mungu amsaidie kujua ni agano gani liliwekwa kwa kwao ambalo linawanyima hata kile wanachostahili na kuwastahilisha wengine. Vinginevyo wataendelea kuishia kama kina Sauli, Esau🤣🤣🤣
Yaani utadhani wamekataliwa na Mungu kama walivyokataliwa Amaleki.
GoodHow are u?
May be ni mmoja katika timu Ruto ya kujumlisha matokeo yote,Ww mwamba ni hatari...kwani uko ndani ya IEBC counting room
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mwinyi aliandika kwenye kitabu chake kuwa CCM walikataa mgombea binafsi kwa sababu ingeipunguza nguvu yaoHata Kikwete kawapongeza kwa hili wakati hapa nchini kuna kipindi Mtikila alipigania sana hili la kuwepo wagombea huru lakini wapi. Hivi hawa CCM wanatuchukulia poa sana.
Too sad. Hiyo si demokrasia. Sasa ni sisi wananchi ndo tunatakiwa tudai ugombea huru.Mwinyi aliandika kwenye kitabu chake kuwa CCM walikataa mgombea binafsi kwa sababu ingeipunguza nguvu yao
Ngoja mwisho trial ballance zigome , ndio watakapoleta machafuko kwa watu kuwafanya kama reference[emoji736]NTV wako Sawa...
[emoji736] Citizen wako Sawa..
[emoji736] KTN wako Sawa...
They maybe reporting differently but at the end of the day, their figures are going to converge somewhere
Kenya wana maendeleo na uchumi mkubwa zaidi kuliko Tanzania, japokuwa wapo wachache na ardhi kidogo yenye ukame kuliko sisi na chaguzi zao zina ushindani kila mara,Ushindani wa nini.Visa na mikasa ndivyo vinavyotawala.Pesa zinapotea bure.Tuunde utaratabu wetu mbali kabisa na demokrasia ndipo tutafanikiwa.
Mshindi ni simple majority hata kwa kura moja ni mshindi hakuna kurudiaHuu uchaguzi hakuna mshindi wanarudiaView attachment 2320805
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Muda utasema hiiMkuu hii ni karne ya 21 Wananchi wengi wameanza kuwa na upeo wa siasa.....Angalia maeneo ya Uhuru Kenyatta alipopiga Kura (UDA ya Ruto imechukua karibu ngazi zote)...Angalia maeneo ya nyumbani kwao Mama yake alikopigia kura ni UDA imeshinda
Uhalisia ni kwamba Uhuru alipomuunga mkono Raila ndio aliharibu sababu wakenya wengi walikuwa wamechoka na uongozi wa Uhuru Kenyata hasa kiuchumi....kashfa za Rushwa za Ndugu wa karibu wa Uhuru Kenyatta kama za KEMSA.....Umiliki wa Vituo vya mafuta kama Rubis.
Angalia Raila Odinga aliwakataa Musalia Mudavadi na Moses Wetangula hao ndio wameleta ushindi mkubwa kwa Ruto sehemu za Western Kenya ilihali kwa miaka mingi ilikua ni ngome ya Raila
Mwenye asilimia kubwa ndio mshindi mwisho wa game, Mimi ni mtazamaji tu mkuuMkuu hii ni karne ya 21 Wananchi wengi wameanza kuwa na upeo wa siasa.....Angalia maeneo ya Uhuru Kenyatta alipopiga Kura (UDA ya Ruto imechukua karibu ngazi zote)...Angalia maeneo ya nyumbani kwao Mama yake alikopigia kura ni UDA imeshinda
Uhalisia ni kwamba Uhuru alipomuunga mkono Raila ndio aliharibu sababu wakenya wengi walikuwa wamechoka na uongozi wa Uhuru Kenyata hasa kiuchumi....kashfa za Rushwa za Ndugu wa karibu wa Uhuru Kenyatta kama za KEMSA.....Umiliki wa Vituo vya mafuta kama Rubis.
Angalia Raila Odinga aliwakataa Musalia Mudavadi na Moses Wetangula hao ndio wameleta ushindi mkubwa kwa Ruto sehemu za Western Kenya ilihali kwa miaka mingi ilikua ni ngome ya Raila
Sawa mkuu tusubiri tuoneKwa kenya urais unategemea kura za wakenya na atakayeshinda ni Rutto
Kenya kiuhakika ukiondoa takwimu hakuna maendeleo kuliko Tanzania.Watu wake ni maskini sana kuliko watanzania..Majumba ya ghorofa yaliyopo Dar huyakuti Nairobi na ukiyakuta yanatisha kupanda.Kuna kipindi kifupi walitupita kwenye madaraja ya juu.Sasa kwa kasi tunawawacha nyuma. kwa ubora ,ukubwa na wingi.Kenya wana maendeleo zaidi kuliko Tanzania, japokuwa wapo wachache na ardhi kidogo kuliko sisi na chaguzi zao zina ushindani kila mara,
Sasa Tanzania hizo hela unasema tinaziokoa zinasaidia nini?