Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mbona unajiongelesha kwa huruma!!!?
Raila is the next president of Kenya tek that to the bank or your wallet
Huwezi lazimisha maji panda mlima ,Kama Kama Wakenya wamekubali uchaguzi uwe huru na haki walisha jiandaa kwamba yoyote anaweza kuwa Rais, Kinyatta atakua mjinga kwamba badala akapumzike kwa kheri ,ajiingize kwenye Mambo ya ajabu ambayo yanaweza leta machafuko raha ya kupumzika inakua wapi Kama mstaafu na mzee muhim katika Taifa lao, kura zikitosha Ruto anakalia kiti ,hawezi puuza matakwa ya Wakenya Kama sie tz tupuuzavyo matakwa ya watz, na iyo sijui tofauti ya Ruto na Kinyatta inakua imezikwa rasmi,
Kinyatta sio Mjinga
 
Mambo ni moto

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Akipiga hii comeback anakuwa juu
Unaweza kuwa unafuatilia vi channel ambavyo wanahesabu polepole wapo kwenye 5m + halafu unasema come back kumbe watu tangu saa 8 za usiku wapo kwenye 6m na walishavuka hiyo hatua
 
Shost kuna watu wanaboa mnooo, yaan kanitibua hadi utumbo mpana unasinyaa na kutanuka bila mpangilio.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kheee jamani poleeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Najiribu kuwaza kuhusu hii the so called uwazi.

Pamoja na kwamba vyombo vyote vya habari na kila mtu kujidai anajumlisha matokeo kutoka portal ya IEBC lakini yote hayafanani.

Kila mtu anafuatilia chanzo chenye matokeo anayoyapenda.

Mwisho wa siku IEBC watatangaza ya kwao pengine hayatafanana na haya wanayolishwa raia kila muda.

Ngoja tuone.
 
Raila ndiye raisi anayeridhiwa na Uhuru.Anataka aondoke amwache ndugu yake
wakenya wako vizuri sana, pamoja na baba kupewa kipaumbele na rais pamoja na state machinery zote lakini bado anapelekeshwa na hustler, hii safi sana wananchi ndio waamue kiongozi wanamtaka sio state machinery kujiwekea watu wawatakao wao!!
 
Jibu litakua moja form A34 ziko uploaded kwenye website yao nawewe unaweza ukafuatilia ukapata takwimu zako binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…