Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Pole ya nini,dunia inaenda shikwa na watu wenye hofu ya Mungu,Ruto anawatoa jasho huko πŸ˜†πŸ˜†

Bado Tanzania sasa mjiandae mabadiliko
Unaongea kitu ambacjo hukijui, kwahiyo ruto nani kakwambia ruto anayo hofu ya Mungu, mwenye hofu ya Mungu ni Yul mchingaji aliyeshika nafasi ya mwisho anaezidiwa na mvuta bangi.
Ruto huyu ambae enzi za mwai kibaki alikua mgombea mweza wa odinga, akimwambia asikubali kusaini matokeo hata watu wakiuana, sasahiv unasema anayo hofu ya Mungu
 
Hivi kuna watu wanaamini Ruto atashinda eti 🀣 🀣
 
Ruto alikuwa pia kwe team ya Moi ya kufanya wizi wa kura. Ruto mwizi tu.
 
Na ndie alie chochea kwa UN wakati wa seke seke la Kenya, ili Uhuru akamatwe yeye awe rais, Ruto naye mbayaa tyuu.
All in all jamaa ni hustler. Anatumia kila njia kutimiza malengo yake. Njia ziwe halali ama si halali. Hata ikitokea asiwe rais leo. Huko mbeleni lazima aje kuwa Rais.Mark my words.
 
Kwani Naibu raisi no nani Kwa sasa?
 
Ruto huyu ambae enzi za mwai kibaki alikua mgombea mweza wa odinga, akimwambia asikubali kusaini matokeo hata watu wakiuana, sasahiv unasema anayo hofu ya Mungu
Watu hawana au hawajui historia za hawa jamaa as wanasiasa, binafsi nakumbuka yeye ndiye chanzo cha ICC kuwahoji yeye na Uhuru na alikuwa anamuomba shetani juu chini Uhuru aonekane mkosaji afungwe ili baadaye aapishwe kuishika ikulu.

Mwanasiasa akikwambia toka ndani kuna giza nenda kahakikishe ni kweli, siyo unabeba mabegi utoke jumla jumla.
 
Hizi updates zimekaa kimchongo Sana, tunashindwa kuelewa nani anaongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…