Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Unaongea kitu ambacjo hukijui, kwahiyo ruto nani kakwambia ruto anayo hofu ya Mungu, mwenye hofu ya Mungu ni Yul mchingaji aliyeshika nafasi ya mwisho anaezidiwa na mvuta bangi.Pole ya nini,dunia inaenda shikwa na watu wenye hofu ya Mungu,Ruto anawatoa jasho huko 😆😆
Bado Tanzania sasa mjiandae mabadiliko
Ruto huyu ambae enzi za mwai kibaki alikua mgombea mweza wa odinga, akimwambia asikubali kusaini matokeo hata watu wakiuana, sasahiv unasema anayo hofu ya Mungu