Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Ikiwa hivyo watarudia uchaguzi ndani ya siku thelathini 30Total votes zilizokua calculated tayari ni 99.99%.... hata mmojawapo apate kura zote zilizobaki hatoboi 50%
Sijui sheria inasemaje hapo, kama ni second round au mseto. Mliopitia hicho kipengele mtujuze
Kumuunga mkono Magufuli kumesababisha atandikwe laana , Dunia haina hurumaToeni updates bas, imekuaje huko????
Odinga ashinde jaman, huyu mzee apewe hata muhula m1 aridhike na yeye lol.
Kwanini?Naona Kenya wameichoka amani!
Co-askingKwanini?
Kumuunga mkono Magufuli kumesababisha atandikwe laana , Dunia haina huruma
Basi itaishia hivyo.... mambo yapo wazi mno ni kujipakulia tu kwa website.Ikiwa hivyo watarudia uchaguzi ndani ya siku thelathini 30
Halafu?Wapinzani wachukue nchi.
Watoe HarufuHalafu?
Sheria inasema 50% + 1. That means anayepata 50% ya kura zote anahitaji kuongeza kura moja tu (sio asilimia moja) kuwa mshindi.Total votes zilizokua calculated tayari ni 99.99%.... hata mmojawapo apate kura zote zilizobaki hatoboi 50%
Sijui sheria inasemaje hapo, kama ni second round au mseto. Mliopitia hicho kipengele mtujuze
Baada ya kutoa harufu?Watoe Harufu
Ila kuna dalili ya round 2Sheria inasema 50% + 1. That means anayepata 50% ya kura zote anahitaji kuongeza kura moja tu (sio asilimia moja) kuwa mshindi.
Kuna kigezo cha pili ila watakuwa wamekitimiza wote kulingana na mchuano ulivyokuwa mkali
Mkuu huoni aibu?Sheria inasema 50% + 1. That means anayepata 50% ya kura zote anahitaji kuongeza kura moja tu (sio asilimia moja) kuwa mshindi.
Kuna kigezo cha pili ila watakuwa wamekitimiza wote kulingana na mchuano ulivyokuwa mkali
Huyo George namfananisha na mzee wetu wa ubwabwaNgoma bado ngondoigwa View attachment 2321335
We kidemu hulali au wanaume wa arusha hawajui kugonga madem? Muda huu wewe demu ulitakiwa uwe umelala 444 kwa uchovu wa kupanua mapaja.Bado tunasubiri
Arusha watu wa bata unaweza kuta mida hii yuko zake the hub anagonga mvinyo.We kidemu hulali au wanaume wa arusha hawajui kugonga madem? Muda huu wewe demi ulitakiwa yee umelala 444 kwa uchovu wa kupanua mapaja.