Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Total votes zilizokua calculated tayari ni 99.99%.... hata mmojawapo apate kura zote zilizobaki hatoboi 50%

Sijui sheria inasemaje hapo, kama ni second round au mseto. Mliopitia hicho kipengele mtujuze
 
Sheria inasema 50% + 1. That means anayepata 50% ya kura zote anahitaji kuongeza kura moja tu (sio asilimia moja) kuwa mshindi.

Kuna kigezo cha pili ila watakuwa wamekitimiza wote kulingana na mchuano ulivyokuwa mkali
 
Back
Top Bottom