Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ila Ruto na Kenyatta wamemchezea shere Odinga
Rais wa nchi yoyote ile duniani kamwe hawezi kabisa kuchezea nchi hata siku moja, huo uwezekano huwa haupo. Mara zote huwa wanafanya kitu ambacho ndiyo kilicho rorhoni mwao and inline na sytem ya nchi
 
Tanzania ikifikia uchaguzi unafanywa namna hii kama Kenya online with real time information then ndio ntainuka kwenda kupiga kura yangu.

Vinginevyo siwezi hangaika na kujichosha na uchaguzi feki halafu media zinasisitiza eti uchaguzi ni haki ya kumchagua raisi umpendaye.
Extro ,,wewe Ni memba kindakindaki wa lumumba ..mbona unakengeuka sasa
 
Uhuru played Raila
Nitakuamini tu baada ya matokeo kuwa yametolewa.
By the way, nini kiliwahi kutokea wakati Hayati Rais Moi alipokuwa akimnadi Uhru Kenyatta kwa mara ya kwanza? Why not, even at this time, think along that line again?
Underwood
 
Africa yetu hii ni ngumu kuwa na Democracy ya kweli, ingawa wakenya wanaweza kuwa na uelewa zaidi kwa ukanda wa Africa Mashariki, Lakini inategemea mgombea anayeungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta.
Mkuu hii ni karne ya 21 Wananchi wengi wameanza kuwa na upeo wa siasa.....Angalia maeneo ya Uhuru Kenyatta alipopiga Kura (UDA ya Ruto imechukua karibu ngazi zote)...Angalia maeneo ya nyumbani kwao Mama yake alikopigia kura ni UDA imeshinda

Uhalisia ni kwamba Uhuru alipomuunga mkono Raila ndio aliharibu sababu wakenya wengi walikuwa wamechoka na uongozi wa Uhuru Kenyata hasa kiuchumi....kashfa za Rushwa za Ndugu wa karibu wa Uhuru Kenyatta kama za KEMSA.....Umiliki wa Vituo vya mafuta kama Rubis.

Angalia Raila Odinga aliwakataa Musalia Mudavadi na Moses Wetangula hao ndio wameleta ushindi mkubwa kwa Ruto sehemu za Western Kenya ilihali kwa miaka mingi ilikua ni ngome ya Raila
 
Sema kenya wamatupiga gape sana tanzania kwenye swala la uchaguzi. Kila kitu kinaonekana wazi na kila mkenya anayo haki ya kuvote kasoro yule tuu aliyefukiwa futi 6 chini .

Kila la kheri
Nadhani tumejifunza, na viongozi wetu wanaona! kumbe ukweli na uwazi unawezekana hata Afrika na sio majuu pekee. 2025 tutawakumbusha!!
 
Kura mil 3 ndo zilizobaki zihesabiwe ,natamani Odinga ashinde ila naona Ruto anakimbiza
Screenshot_20220810-113523.png

Bado kura zaudi ya 10M hizo tatu umetoa wapi?
 
I feel sorry for Mr Raila odinga that he's not going to win this election actually his father was unlucky against the Mafia Jomo Kenyatta and him also is unlucky as this election going to be five in row without winning.
Deep State & SYSTEM itakuwa inashangaa Sanaaa.
.
Uhuru atamwambia RAO atoe Hotuba Ya Kukubali Matokeo - atamtafutia Kazi Nyingine!
.
Nafikiria- Joho, Junet, Babu Owino, Sabina Chege, Esther Paris few to be Mentioned. Technically killed there career

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii ni karne ya 21 Wananchi wengi wameanza kuwa na upeo wa siasa.....Angalia maeneo ya Uhuru Kenyatta alipopiga Kura (UDA ya Ruto imechukua karibu ngazi zote)...Angalia maeneo ya nyumbani kwao Mama yake alikopigia kura ni UDA imeshinda

Uhalisia ni kwamba Uhuru alipomuunga mkono Raila ndio aliharibu sababu wakenya wengi walikuwa wamechoka na uongozi wa Uhuru Kenyata hasa kiuchumi....kashfa za Rushwa za Ndugu wa karibu wa Uhuru Kenyatta kama za KEMSA.....Umiliki wa Vituo vya mafuta kama Rubis.

Angalia Raila Odinga aliwakataa Musalia Mudavadi na Moses Wetangula hao ndio wameleta ushindi mkubwa kwa Ruto sehemu za Western Kenya ilihali kwa miaka mingi ilikua ni ngome ya Raila
Mwana hebu tupe details za kikount Hasa Kisumu na mt Kenya. Tuendelee Kula porncorn.
 
Tanzania ikifikia uchaguzi unafanywa namna hii kama Kenya online with real time information then ndio ntainuka kwenda kupiga kura yangu.

Vinginevyo siwezi hangaika na kujichosha na uchaguzi feki halafu media zinasisitiza eti uchaguzi ni haki ya kumchagua raisi umpendaye.
Tanzania wajinga bado ni wengi sana
 
Back
Top Bottom