Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mzee ameanza kuhisi kaubaridi nini 🤣Azimio Press Conference Coming up shortly from KICC.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ameanza kuhisi kaubaridi nini 🤣Azimio Press Conference Coming up shortly from KICC.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unawashwa kinyeo wewe.Kila kitu huwa mnakitafutia namna ya kuwafariji juu ya ubaradhuri mnaofanyiwa abaoufanya CCM (kutafuta faraja), huko ni Kenya mkuu mambo ya nyangumi wa Chato bakini nayo nyinyi.
Umasikini usikutese kiasi hicho.
Rais wa nchi yoyote ile duniani kamwe hawezi kabisa kuchezea nchi hata siku moja, huo uwezekano huwa haupo. Mara zote huwa wanafanya kitu ambacho ndiyo kilicho rorhoni mwao and inline na sytem ya nchiIla Ruto na Kenyatta wamemchezea shere Odinga
Extro ,,wewe Ni memba kindakindaki wa lumumba ..mbona unakengeuka sasaTanzania ikifikia uchaguzi unafanywa namna hii kama Kenya online with real time information then ndio ntainuka kwenda kupiga kura yangu.
Vinginevyo siwezi hangaika na kujichosha na uchaguzi feki halafu media zinasisitiza eti uchaguzi ni haki ya kumchagua raisi umpendaye.
You have been fooledRais wa nchi yoyote ile duniani kamwe hawezi kabisa kuchezea nchi hata siku moja, huo uwezekano huwa haupo. Mara zote huwa wanafanya kitu ambacho ndiyo kilicho rorhoni mwao and inline na sytem ya nchi
Mkuu hii ni karne ya 21 Wananchi wengi wameanza kuwa na upeo wa siasa.....Angalia maeneo ya Uhuru Kenyatta alipopiga Kura (UDA ya Ruto imechukua karibu ngazi zote)...Angalia maeneo ya nyumbani kwao Mama yake alikopigia kura ni UDA imeshindaAfrica yetu hii ni ngumu kuwa na Democracy ya kweli, ingawa wakenya wanaweza kuwa na uelewa zaidi kwa ukanda wa Africa Mashariki, Lakini inategemea mgombea anayeungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta.
Uhuru played Raila
Raila is now complaining that deep state wont let him winUhuru played Raila
Why? Very qualified though; possibly because of age?Raila is now complaining that deep state wont let him win
Ni ngumu.Nilichogundua, bado vituo ni vingi ambayo Kura hazijahesabiwa,tuhifadhi maneno,Raila huenda akabadili Mambo fasta
Nadhani tumejifunza, na viongozi wetu wanaona! kumbe ukweli na uwazi unawezekana hata Afrika na sio majuu pekee. 2025 tutawakumbusha!!Sema kenya wamatupiga gape sana tanzania kwenye swala la uchaguzi. Kila kitu kinaonekana wazi na kila mkenya anayo haki ya kuvote kasoro yule tuu aliyefukiwa futi 6 chini .
Kila la kheri
Kazi ipo. Ila inategemea kura za kambi ya nani zilizobaki kuhesabiwa. Hapa watabiri washajua nani atakuwa Rais.Kura mil 3 ndo zilizobaki zihesabiwe ,natamani Odinga ashinde ila naona Ruto anakimbiza
Hata Mimi nimelitafakari hili. Upepo utageuka mtu hataaminiRuto anachezewa mchezo wa kiasiasa sasa,wameanza kuhesabu kura kutoka ngome yake halafu ndio wanamalizia ngome za Odinga.kwisha habari yake.
Kura mil 3 ndo zilizobaki zihesabiwe ,natamani Odinga ashinde ila naona Ruto anakimbiza
Deep State & SYSTEM itakuwa inashangaa Sanaaa.I feel sorry for Mr Raila odinga that he's not going to win this election actually his father was unlucky against the Mafia Jomo Kenyatta and him also is unlucky as this election going to be five in row without winning.
Kama walivyofanya 2015Ruto anachezewa mchezo wa kiasiasa sasa,wameanza kuhesabu kura kutoka ngome yake halafu ndio wanamalizia ngome za Odinga.kwisha habari yake.
Kumbe bado safari ni ndefu sanaVimisha hesabiwa vituo 5113 kati ya vituo 46229
Mwana hebu tupe details za kikount Hasa Kisumu na mt Kenya. Tuendelee Kula porncorn.Mkuu hii ni karne ya 21 Wananchi wengi wameanza kuwa na upeo wa siasa.....Angalia maeneo ya Uhuru Kenyatta alipopiga Kura (UDA ya Ruto imechukua karibu ngazi zote)...Angalia maeneo ya nyumbani kwao Mama yake alikopigia kura ni UDA imeshinda
Uhalisia ni kwamba Uhuru alipomuunga mkono Raila ndio aliharibu sababu wakenya wengi walikuwa wamechoka na uongozi wa Uhuru Kenyata hasa kiuchumi....kashfa za Rushwa za Ndugu wa karibu wa Uhuru Kenyatta kama za KEMSA.....Umiliki wa Vituo vya mafuta kama Rubis.
Angalia Raila Odinga aliwakataa Musalia Mudavadi na Moses Wetangula hao ndio wameleta ushindi mkubwa kwa Ruto sehemu za Western Kenya ilihali kwa miaka mingi ilikua ni ngome ya Raila
Tanzania wajinga bado ni wengi sanaTanzania ikifikia uchaguzi unafanywa namna hii kama Kenya online with real time information then ndio ntainuka kwenda kupiga kura yangu.
Vinginevyo siwezi hangaika na kujichosha na uchaguzi feki halafu media zinasisitiza eti uchaguzi ni haki ya kumchagua raisi umpendaye.