ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Unaona comeback ya RAO!!??Kwa kenya urais unategemea kura za wakenya na atakayeshinda ni Rutto
Sio kweliAh wap .yuko nyuma kura kama 1m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona comeback ya RAO!!??Kwa kenya urais unategemea kura za wakenya na atakayeshinda ni Rutto
Sio kweliAh wap .yuko nyuma kura kama 1m
Hayo matokeo umayapata kwenye source ipi?Ah wap .yuko nyuma kura kama 1m
Hizo percentange mbona zina walakini? Kwamba watu wawili tu asilimia zao ni zaidi ya 100% hapo bado hujawaweka wale wawili na vi point vyao vya %.Naangalia hapa Live Citizen hawajafikisha hiyo idadi ya kuhesabu kura
Comeback inasemajeUnaona comeback ya RAO!!??
Sio kweli
Ruto hawezi kuongoza Nyanza tuache propaganda za kiccm.Tayari, Ruto anaongoza
WaaaapiiiiMatokeo yakija kuwa tofauti wewe utakuwa mmoja kati ya watu watakaoumizwa sana na haya matokeo kuliko hata Ruto mwenyewe. Kwenye siasa za Kenya lolote linawezekana.
Sio kweli Ruto ana kura 1504330Ah wap .yuko nyuma kura kama 1m
Akipata odinga itakuwa safi, wamfute machozi.. toka kitambo anaangukia pua.. maana hii aki kosa ndio basi tena😀😀
Akipata odinga itakuwa safi, wamfute machozi.. toka kitambo anaangukia pua.. maana hii aki kosa ndio basi tena😀😀
Basi unaongoza weweRuto hawezi kuongoza Nyanza tuache propaganda za kiccm.
Hahaha tuonane humu×2 jioniAisee hizi mambo a za kuapia na id feko zetu sio sahihi toa namba zako hapa ili tuje tuone unavyokufa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
😀😀😀😀 na hapo kapata suport ya Rais ambae anatarajia kumaliza mda wake.Odinga ana gundu
Kwenye saa 5 asubuhi gap lilikuwa kama kura elfu 57 plus now ni kura elfu 35Sasa wanaanza kuhesabu kwenye strong hold yake nadhani.
Kama unatumia simu janja uwe mwepesi kuitumia ipasavyo kijana wangu.Source pls?
Ndugu kumbuka tumë imeruhusu vyombo vya habri kutangaza matokeo Yao Moja Kwa Moja ila iebc ndo itatoa official results so usitegemee maajabu. Wenzetu wako fit Kwa kwwli.sion raila akishinda kabsa