Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hamna cha chaguo la dola. Kenya wamekwiva kidemokrasia. Watafuata wakenya walivyosema kwenye box la kura.Raila ni chaguo la dola!watamshindisha tu!HIZO ninchenga za mwili tu kuepusha mauaji!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna cha chaguo la dola. Kenya wamekwiva kidemokrasia. Watafuata wakenya walivyosema kwenye box la kura.Raila ni chaguo la dola!watamshindisha tu!HIZO ninchenga za mwili tu kuepusha mauaji!!
JAMAA yupo sahihi HIZO ni za saa hivi 9:41pmNation 2140hrs
Ruto 50.14%
Raila 49.18
Hizo ni propaganda,plus michezo uchwara mission failedYes kuna magari yamekamatwa yakivuka kutokea Uganda na kura zake tayari.Yameshikiliwa.Hili litamgharimu sana.
Kuna jamaa yangu m1 hivi ni mkenya. Aliwahi kuniambia kenya haitaongozwa na mjaluo kamwe. Itapita miaka mingi. Nimeanza kuamini maneno yake. Ruto ataibuka kidedea. Ngoma ipo tight sana.Ruto 50.6% na Raila 48.7% mpaka sasa
Jumlisha na wale wengine kama hupati 100%+Nation 2140hrs
Ruto 50.14%
Raila 49.18
Ahsante Mkuu kwa kunipa elimu mubasharaHizo ni propaganda,plus michezo uchwara mission failed
Raila yupo Hoi hukoMsiache kutuapdet tulipo hakuna tv mimi ni team RAILA
Aisee huu mtazamo ni mbaya sana kwa haya matokeo yanayo endelea..sasa wakiyakataa...Nyerere aliona mbali sana kuhusu makabila...wakapuuza tulichokiona ni historia..Kuna jamaa yangu m1 hivi ni mkenya. Aliwahi kuniambia kenya haitaongozwa na mjaluo kamwe. Itapita miaka mingi. Nimeanza kuamini maneno yake. Ruto ataibuka kidedea. Ngoma ipo tight sana.
Ile sindano haikuingia, na hii je? Njia ya muongo ni fupi sana, haya danganya kingineHata mimi ninaangalia pia,au unadhani ni wewe peke yako ndiyo una link hiyo? Lakini kwa nini tubishane? Baada ya saa nzima naomba ulete tena kama kutakuwa na figures mpya.
Haizidi mkuuJumlisha na wale wengine kama hupati 100%+
DemHamna cha chaguo la dola. Kenya wamekwiva kidemokrasia. Watafuata wakenya walivyosema kwenye box la kura.
Demokrasia haijawahi kumchagua kiongozi!Hamna cha chaguo la dola. Kenya wamekwiva kidemokrasia. Watafuata wakenya walivyosema kwenye box la kura.
Anza na idadi ya kura kwanzaMe nafuatilia live now ila K24 wao wanazingua data zao hawajaweka ktk asilimia..citizen wao odinga 49.31% af ruto 49.29%....KTN wao ruto 49.7% while odinga 49.6%..KBC wao odinga ana 48.4% ruto ana 50.9%
That will never happen,toka Odinga ameanza harakati za siasa hamna ambaye alisha wahi kumshinda kiuhalisia pasipo figisu,bahati mbaya kwake huwa ana kuwa upinzani-so alikuwa anakosa support ya system.Ila Ruto akimshinda Odinga pamoja na msaada wa Uhuru basi ni kidume haswa