Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kuna jamaa yangu m1 hivi ni mkenya. Aliwahi kuniambia kenya haitaongozwa na mjaluo kamwe. Itapita miaka mingi. Nimeanza kuamini maneno yake. Ruto ataibuka kidedea. Ngoma ipo tight sana.
Aisee huu mtazamo ni mbaya sana kwa haya matokeo yanayo endelea..sasa wakiyakataa...Nyerere aliona mbali sana kuhusu makabila...wakapuuza tulichokiona ni historia..
 
Hata mimi ninaangalia pia,au unadhani ni wewe peke yako ndiyo una link hiyo? Lakini kwa nini tubishane? Baada ya saa nzima naomba ulete tena kama kutakuwa na figures mpya.
Ile sindano haikuingia, na hii je? Njia ya muongo ni fupi sana, haya danganya kingine
Screenshot_2022-08-11-21-45-55-53.jpg
 
Hamna cha chaguo la dola. Kenya wamekwiva kidemokrasia. Watafuata wakenya walivyosema kwenye box la kura.
Dem
Hamna cha chaguo la dola. Kenya wamekwiva kidemokrasia. Watafuata wakenya walivyosema kwenye box la kura.
Demokrasia haijawahi kumchagua kiongozi!

Kura hupigwa kuhalalisha kiongozi aliekwisha chaguliwa na wenye nchi!

Kama ukisemacho ni sahihi Basi

Secretary clinton,Mamvi, Maalim seif,Mrema,hata Odinga angeshashinda urais zamani Sana!!

Odinga ni chambo atakaetolewa sadaka ILI mama yule ashike kama huku kwetu!!
Tusubiri
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!
 
Me nafuatilia live now ila K24 wao wanazingua data zao hawajaweka ktk asilimia..citizen wao odinga 49.31% af ruto 49.29%....KTN wao ruto 49.7% while odinga 49.6%..KBC wao odinga ana 48.4% ruto ana 50.9%
Anza na idadi ya kura kwanza
 
Like it or not Kenya has gone too way far.

This election has disclosed everything.

Never seen in Africa. I say it again, never seen in Africa. Cutting edge technology, transparency, timely results, peaceful environment, wow glorious [emoji91][emoji91]

Wabongo mtakaa sana aisee
 
Back
Top Bottom