I told you people,Tz mjiandaePole ya nini,dunia inaenda shikwa na watu wenye hofu ya Mungu,Ruto anawatoa jasho huko 😆😆
Bado Tanzania sasa mjiandae mabadiliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I told you people,Tz mjiandaePole ya nini,dunia inaenda shikwa na watu wenye hofu ya Mungu,Ruto anawatoa jasho huko 😆😆
Bado Tanzania sasa mjiandae mabadiliko
Hebu msikilize hapa😂
Ruto ana hofu ya Mungu? Ohhj my rib!!!Pole ya nini,dunia inaenda shikwa na watu wenye hofu ya Mungu,Ruto anawatoa jasho huko [emoji38][emoji38]
Bado Tanzania sasa mjiandae mabadiliko
Nani kakudamganya?kazi imeisha hukoRuto ana hofu ya Mungu? Ohhj my rib!!!
Aliyemhamasisha Odinga asikubali matokeo ya kushindwa hata kama watu mamilioni watakufa.
Hivi nyie mnafuatiliaga kweli siasa? Kama bado umeshikiwa akili na wanasiasa pole mkuu inabidi uzinduke.
Ukiwa mwanasiasa basi huna hofu ya Mungu tena maana pale unamtumikia shetan kwa kusema uongo hadharani kitu ambacho una uhakika hukiwezi.
BwahahahaaaaThere are nothing like comebacks here what I'm seeing is people are giving themselves false hope about odinga.The old man can never be the next president actually Ruto will be no matter what.
Mimi hata kura huwa siendi kupiga,Ccm wameshajiapiza eti watatawala tz kwa 100 years from now . unakaa unajiuliza hivi hawa ni wazima kweli!
Nimesikiliza hotuba yake baada ya kutangazwa mshindi.Ila Ruto mtu wa visasi, lazima alipize
Alipize nini na wakati hii ilikua ni plan yake ya siri na Uhuru?Ila Ruto mtu wa visasi, lazima alipize