Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Yawezekana Uhuru alikuwa anacheza "drama"!!!
Nchi jirani tuwe wakweli tukubali teknnolojia itusaidie tupate matokeo ya kweli (uwazi,uhuru na haki).
"Haki huinua taifa ".ule mwaka Zambia kutoka uchaguzi walivyochagua Rais kwa haki na timu yao ya Taifa ilienda kuchukua ubingwa wa Afrika.!!
Tanzania Tanzania tujifunze kama nchi.Tupate maendeleo kwa kasi ya 4G!!
 
Pole ya nini,dunia inaenda shikwa na watu wenye hofu ya Mungu,Ruto anawatoa jasho huko [emoji38][emoji38]

Bado Tanzania sasa mjiandae mabadiliko
Ruto ana hofu ya Mungu? Ohhj my rib!!!

Aliyemhamasisha Odinga asikubali matokeo ya kushindwa hata kama watu mamilioni watakufa.

Hivi nyie mnafuatiliaga kweli siasa? Kama bado umeshikiwa akili na wanasiasa pole mkuu inabidi uzinduke.

Ukiwa mwanasiasa basi huna hofu ya Mungu tena maana pale unamtumikia shetan kwa kusema uongo hadharani kitu ambacho una uhakika hukiwezi.
 
Halafu mtukuja kuyasikia mataahira waliokuwa observers wanakunya eti election was free and fair
 
Ruto ana hofu ya Mungu? Ohhj my rib!!!

Aliyemhamasisha Odinga asikubali matokeo ya kushindwa hata kama watu mamilioni watakufa.

Hivi nyie mnafuatiliaga kweli siasa? Kama bado umeshikiwa akili na wanasiasa pole mkuu inabidi uzinduke.

Ukiwa mwanasiasa basi huna hofu ya Mungu tena maana pale unamtumikia shetan kwa kusema uongo hadharani kitu ambacho una uhakika hukiwezi.
Nani kakudamganya?kazi imeisha huko
 
Ni kwa vile tu mshindani wake anatoka kabila la wasiokata
 
Ruto is a monster. Congratulation RuWiSa 5th president of U.R.K.

To be continued
 
Kupambana na Ruto sio kwenye majukwaa tuu lakini hata kwa wizi hawamuwezi ingawa najua wizi safari hii hajafanya ila Ruto wakati wa Moi alipachika watu Kenya nzima idara nyeti ili walinde maslahi yake akijua siku moja atagombea urais na anavyoijua Kenya angeweza hujumiwa. Ruto ni Hustler sio mchezo.
 
Ruto is a monster. Congratulation RuWiSa 5th president of U.R.K.

To be continued
 
Back
Top Bottom