Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Pole sana leo unaliwaTeam yenye uzoefu wa kupanda ndege mkuu
Hizo takwimu za Kipindi cha kwanza
Hata ball possession Yanga tupo juu kuliko mikia fcTumeanza kuwakosakosa wao
Huyu jamaa kashakimbia kitambo sana kaona timu la mikia fc halina muelekeoWapi Okwi Boban Sunzu????
Mie najutia hela yanguHuu mpira ni mbovu mno ! Najuta kupoteza muda wangu .
Ulitegemea nini kushabikia wamchanganiHuu mpira ni mbovu mno ! Najuta kupoteza muda wangu .
Pole sana leo unaliwa